DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 268
Habari wakuu, nimekua nikisikia matangazo mengi sana kuhusiana na huyu jamaa anayeitwa Ras Simba kwamba anatoa tuition ya kuzungumza Lugha ya Kiingereza, amekua akijinadi kuwa ukienda kwake usipojua kuzungumza Kiingereza kwa muda wa miezi 3 anakurudishia ada yako, Je hili lina ukweli? Je serikali inamtambua? Ufundishaji wake unafata mtaala gani?