mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nilishangazwa Na taarifa ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Bw.Zerotte Stephen kuwa RAS wa mkoa huo kamsomea taarifa ya mkoa kuwa mkoa wa Rukwa hauna wafanyakazi hewa.Mkuu wa mkoa akaikataa taarifa hiyo Na kuagiza zoezi hilo lianze upya Na hatimae wakabainika wafanyakazi hewa.Inashangaza kuona viongozi kama RAS anatoa taarifa za uongo kwenye zito kama hili.Ni imani yangu viongozi wa aina ya huyu RAS wa Rukwa Na yule wa Shinyanga hawafai hivyo Mh.Magufuli uamuzi in wako.