Mbona namwona jamaa kpozi na mikono mfukoni!
Mbona namwona jamaa kpozi na mikono mfukoni!
Kwa sababu haikuwa serious accident nor serious car crashMbona namwona jamaa kpozi na mikono mfukoni!
Hiyo ndo serious?
Labda kama angekuwa na Vitz au Opa angevunjika miguu na kupondeka kichwa.
Muwe makini na vi-Vitz vyenu hivyo.