Mbuta Likaso JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,359 Reaction score 10,445 May 23, 2025 #21 min -me said: Hala madrid Click to expand... Una akili timamu unashabikia timu ya serikali?
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,548 Reaction score 88,539 May 23, 2025 #22 Chick_tz said: Hata tukimpata SUZUKI wa pale PARMA anatutosha Click to expand... Duuh uko serious au unatania
Chick_tz said: Hata tukimpata SUZUKI wa pale PARMA anatutosha Click to expand... Duuh uko serious au unatania
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,548 Reaction score 88,539 May 23, 2025 #23 ze-dudu said: UEFA for mens not boyz Click to expand... Kuna 'mens' wametolewa na hao hao boyz huko uefa
ze-dudu said: UEFA for mens not boyz Click to expand... Kuna 'mens' wametolewa na hao hao boyz huko uefa
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,238 May 23, 2025 #24 Intelligent businessman said: Lautaro, dembele, raphinha Click to expand... Lautaro na dembele nawakubali sana
Intelligent businessman said: Lautaro, dembele, raphinha Click to expand... Lautaro na dembele nawakubali sana
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,238 May 23, 2025 #25 Pale Barca wanatufaa sana Lautaro au Alvarev, hawa ndio wanaume wa kazi kazi. Hawana kulialia na kusuka kiswahili.
Pale Barca wanatufaa sana Lautaro au Alvarev, hawa ndio wanaume wa kazi kazi. Hawana kulialia na kusuka kiswahili.
Chick_tz JF-Expert Member Joined Mar 2, 2025 Posts 2,446 Reaction score 3,297 May 23, 2025 Thread starter #26 BlackPanther said: Pale Barca wanatufaa sana Lautaro au Alvarev, hawa ndio wanaume wa kazi kazi. Hawana kulialia na kusuka kiswahili. Click to expand... Hawanaga usharobaro wazee wa kazi kazi Kipa tukimpata martinez itakuwa bomba
BlackPanther said: Pale Barca wanatufaa sana Lautaro au Alvarev, hawa ndio wanaume wa kazi kazi. Hawana kulialia na kusuka kiswahili. Click to expand... Hawanaga usharobaro wazee wa kazi kazi Kipa tukimpata martinez itakuwa bomba
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,238 May 23, 2025 #27 Chick_tz said: Hawanaga usharobaro wazee wa kazi kazi Kipa tukimpata martinez itakuwa bomba Click to expand... Exactly kamanda, timu letu linataka watu kazi kazi...
Chick_tz said: Hawanaga usharobaro wazee wa kazi kazi Kipa tukimpata martinez itakuwa bomba Click to expand... Exactly kamanda, timu letu linataka watu kazi kazi...
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 57,987 Reaction score 166,211 May 24, 2025 #28 Lord Delamere in Kenya said: Una akili timamu unashabikia timu ya serikali? Click to expand... Kwa nini master
Lord Delamere in Kenya said: Una akili timamu unashabikia timu ya serikali? Click to expand... Kwa nini master
Mbuta Likaso JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,359 Reaction score 10,445 May 24, 2025 #29 min -me said: Kwa nini master Click to expand... Chochote cha serikali huwa sikiungi mkono, maana najua mafanikio yake yako kwa kubebwa bebwa tu. Kwa asili, Real Madrid ni timu ya Mfalme wa Spain, ila Barcelona ni timu ya wanaharakati wapinga dhulma.
min -me said: Kwa nini master Click to expand... Chochote cha serikali huwa sikiungi mkono, maana najua mafanikio yake yako kwa kubebwa bebwa tu. Kwa asili, Real Madrid ni timu ya Mfalme wa Spain, ila Barcelona ni timu ya wanaharakati wapinga dhulma.