Raphinha tunatamba nae mpaka 2028

Tatizo la Barcelona lipo kule nyuma ukiwatoa Balde na Kounde wengine ni maji kupwa maji kujaa, wanapohangaika kuwaongezea mikataba hao wachezaji wa mbele wakumbuke kusajili na wa nyuma, bila kumsahau kipa asee pale kipa hatuna tukimpata mtu kama Donnarumma msimu ujao watu watalia na kusaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…