Raphael Tenthani mtangazaji wa BBC Malawi amefariki

Dah!!jamaa alikuwa anapiga sana masanga na anaonekana alikuwa anapiga sana mataputapu zaidi kuliko Biere. R.I.P Jembe inabidi siku ya mazishi yako watu wapige sana masanga kukuenzi.
 
Duuuh! Hii thread ni ya msiba lakini inachekesha sana.
Anyways. ..R.I.P Raphael.
 
Mchizi anaonekana mtu wa tungi sana
Any ways...may your soul rest in peace
 
Siyo mtangazaji mchafu,angalia lugha,sema hakuwa anavaa nguo unazopenda wewe,nguo alizokua anavaa zilikua zinafuliwa na kubadilishwa pia na si kwamba zilikua chafu kama ulivyoandika,R.I.A.

Siyo maneno yangu kaka angalia hiyo link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…