Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,792
Tulimpenda lakini pombe limpenda zaidi!
Wanafiki watataka wamvalishe suti na kumremba. Mwacheni avae kama alivyokuwa akivaa enzi za uhai wake.
Rest in Peace Ralph
Siyo mtangazaji mchafu,angalia lugha,sema hakuwa anavaa nguo unazopenda wewe,nguo alizokua anavaa zilikua zinafuliwa na kubadilishwa pia na si kwamba zilikua chafu kama ulivyoandika,R.I.A.
![]()
![]()
rip raphael tenthani
Mtu wa shoka Raphael katangulia mbele ya haki nilikuwa napenda sana kumuona anavyovaa over sizes.![]()
![]()
RIP Raphael Tenthani
Inaonekana alikuwa chapombe sana. Alazwe panapo stahili......amina![]()
![]()
RIP Raphael Tenthani
Miaka 43 huyu? Hebu tuache utani bwana!!!
Yaani jamaa alikuwa wa kipekee.Duuuh! Hii thread ni ya msiba lakini inachekesha sana.
Anyways. ..R.I.P Raphael.
Pombe imemzeesha, huenda yupo around 30.kiafrika zaidi bro...ila ana pacha yake ana 56
Yaani jamaa alikuwa wa kipekee.