shatisuruali
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 905
- 2,780
Habari
Hawa jamaa wamefanikiwa kuziathiri nchi zaidi ya 150 na sasa hivi nchi nyingi zipo kwenye disaster recovery mode. Je kuna fununu au taarifa rasmi kutoka Tanzania kuwa ni Taasisi au mashirika gani yameathirika na udukuzi huu?? Maana Tanzania ni moja kati ya nchi zilizovamiwa africa.