operamini ni operamini, engine yake haipo kwenye simu ipo kwenye server za opera simu zote zenye opera zinakuwa na nguvu sawa tu. ila still opera ya wp ni beta ina bugs kadhaa ikiwemo ku crash. sasa hivi muonekano wake ni wa kawaida kama opera ya java au android ila utachange soon kwenye simu zote hizo
kaka kama hupendi tiles usinunue windows phone, why ununue kitu ambacho hukipendi? tiles ndio inayoifanya windows phone kuwa tofauti na ios na android then ukizitoa kuna maana gani? though unaweza kuzi customize zikawa tofauti kabisa.
ukumbuke tile za wp sio app launcher tu kama icon za ios na android bali ni live tiles, zinakupa information bila kufungua app husika kama matokeo ya mpira, habari, storage ya simu, idadi ya mb zilizobaki kwenye kifurush nk