1. Utashi-hata wewe lazima kuna rangi zinakuvuutia zaidi ya zingine.
2. Hali ya hewa-Dar jua kali rangi nyeusi itakuoka
3. Uchumi-Rangi nyeusi jua kali kuwasha AC wakati taa ya fuel gauge inawaka mpaka inataka kuungua ni utata!
4. Management-Ununue gari la Matte Black unalipeleka Car wash za uswazi wanalisiriba na polish za wax!!!
5. ......endeleza na wewe!