Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,813
- 21,030
Mazingira huwa yanabadilisha genes za watu. Kitendo hiki huchukua miaka mingi sana. Kwa hiyo waafrika tunazaa watoto weusi sababu tayari genes zetu zimebadilika.Kama ni melanini ndio imezalishwa basi watoto wangekuwa wanazaliwa weupe kama wazungu kisha jua linazalisha melanini na kuwa black,cha kushangaza wazungu wakija afrika hata wakikaa miaka mia wanakuwa na rangi yao ya uzungu ile ile....Kinachobadilika ni kufubaa au kung'aa kwa ngozi.
Hili ni kweli kabisa na si sahihi waafrika kufananishwa na sokwe na hali sokwe ni weupe.Basi tuseme wenye rangi nyeupe asili yao ni sokwe?
KabisaHili ni kweli kabisa na si sahihi waafrika kufananishwa na sokwe na hali sokwe ni weupe.
Namuangalia mkuu King Kong III,naangalia na rangi yake,nagundua kweli mna utani na watu😀😀...Rangi hii imetokea tu maishani sababu ya mazingira yanayochochea kuzalishwa Melanin kwa wingi....
Sema hawa wanakosa melanini kila sehemu hadi kwenye nywele. Kisayansi ancestors wetu walikuwa weupe ndani ila walifunikwa na manyoya meusi kama walivyo sokwe leo. Hata wazungu utakuta wana vinyweleo vyeusi. Ualbino ni tatizo.Unataka kusema ma albino ndo most perfect human beings due to excessive lack of melanin?as long as melanin Is concern