Rangi na mapenzi

Rangi na mapenzi

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,779
Rangi ni ulevi mwingine unaodatisha watu wengine wanapenda wanawake weupe,wengine weusi n.k.Hata unapomnunulia mpenzi wako nguo ni muhimu kutambua rangi anazopenda.Mie napenda rangi ya njano sana.

Hata kama sijapanga nikiona bidhaa ina rangi ya njano nadata.Hii Imenifanya ninunue vitu vingi na nguo kisa ni rangi niipendayo.Napenda Matunda ya mizeituni,ndizi,machungwa kisa tu ni ya njano.Nayapenda Maboga kisa tu ya njano.

Jamani Wadau rangi ni ulevi wa aina yake.Dah ama kweli rangi humfanya hata umpende kwa rangi yake.Wanawake wnajua rangi sana kuliko wanaume.Ila sijajua kua wana mapenzi na rangi kama sisi wanaume tunavopenda wasichana weupe.

Nyumba,gari,chakula kinavutia kutokana rangi.Chips zina rangi ya njano na wasichana wengi wanazipenda.Nadhani zingekua nyeusi zisingevutia machoni.Lami inavutia mana ni nyeusi,sipati picha lami iwe blue ama nyeupe,sipati picha tuwe na meno meusi,jamani rangi ziheshimiwe.
 
Kuku kuukuu tu sijui mi napenda jogoo,mtetea,kifaranga hizo ni mbwembwee tu! Mii full black&white&aqwa blue
 
Kumbe wanaume tunapenda mademu weupe..Basi sawa
 
BUMIJA

m rang nyeupe ndo sifa ya kwanza kwang,kama duu hana hyo rang ndo bas
 
Last edited by a moderator:
Rangi Ni Ulevi Mwingine Unaodatisha Watu.Wengine Wanapenda Wanawake Weupe,wengine Weusi n.k.Hata Unapomnunulia Mpenzi Wako Nguo Ni Muhimu Kutambua Rangi Anazopenda.Mie Napenda Rangi Ya Njano Sana.Hata Kama Sijapanga Nikiona Bidhaa Ina Rangi Ya Njano Nadata.Hii Imenifanya Ninunue Vitu Vingi Na Nguo Kisa Ni Rangi Niipendayo.Napenda Matunda Ya Mizeituni,ndizi,machungwa Kisa Tu Ni Ya Njano.Nayapenda Maboga Kisa Tu Ya Njano.Jamani Wadau Rangi Ni Ulevi Wa Aina Yake.Dah Ama Kweli Rangi Humfanya Hata Umpende Kwa Rangi Yake.Wanawake Wanajua Rangi Sana Kuliko Wanaume.Ila Sijajua Kua Wana Mapenzi Na Rangi Kama Sisi Wanaume Tunavopenda Madem Weupe.Nyumba,gari,chakula Kinavutia Kutokana Rangi.Chips Zina Rangi Ya Njano Na Madem Wengi Wanazipenda.Nadhani Zingekua Nyeusi Zisingevutia Machoni.Lami Inavutia Mana Ni Nyeusi,sipati Picha Lami Iwe Blue Ama Nyeupe,sipati Picha Tuwe Na Meno Meusi,jamani Rangi Ziheshimiwe

Si bure wewe utakua shabiki wa CCM tu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom