Tetesi: Range ya Gadner chalii

inaonekana jamaa tungi sana. si alikamatwaga na kibonde wakiDUI asubuhisubuhi?
 
Hivi ni Range au Discover 4 ???
Captain-1.jpg
 
Habari toka jikoni zinathibitisha kuwa ile range rover aliyopewa kama package ya kujiunga clouds media, amepata nayo ajali akiwa kalewa chakali. Kwa bahati nzuri gari ilikuwa na bima kubwa sema Gadner alikuwa ameshaikopea sehemu. So kampuni ya bima inahangaika kumlipa mkopeshaji pesa na riba yake ndo kiasi kilichobaki wamalizane na Gadner. Huu ni ubuyu mpya kwa ajili ya wanaume wa Dar. Kama hutaki umbeya hamia jukwaa la great thinkers.
Ile si ni discovery
 
Habari toka jikoni zinathibitisha kuwa ile land rover discovery aliyopewa kama package ya kujiunga clouds media, amepata nayo ajali akiwa kalewa chakali. Kwa bahati nzuri gari ilikuwa na bima kubwa sema Gadner alikuwa ameshaikopea sehemu. So kampuni ya bima inahangaika kumlipa mkopeshaji (kwa lugha ya kifedha anaitwa TITTLE HOLDER) pesa na riba yake ndo kiasi kilichobaki wamalizane na Gadner. Kadi ya gari bado anayo mkopeshaji. Huu ni ubuyu mpya kwa ajili ya wanaume wa Dar. Kama hutaki umbeya hamia jukwaa la great thinkers.
Kwa wanaotaka kuamini juu ya hili wafatilie wataona gadner now anatumia toyota Opa badala ya discovery 3
We ni team kojoza au team ndi.ndi.ndi??
 
Dah lakini huyu jamaa kila jahazi likianza huwa anamtaja MUNGU sana lakini akimalizia anaisifia bia, sijui ni dini gani huyu
 
Back
Top Bottom