Range Rover ya wizi yakutwa Bongo

Range Rover ya wizi yakutwa Bongo

Jamani kwa jambo hili tuwe makini kidogo. Hawa watu wengine wanakuwaga wameuza wenyewe kihalali kabisa huko kwao, kwa vile utaratibu wao wa insurance na kununua ni wa kulipa huku unatumia, hivyo anauza halafu gari ikiondoka ikifika nje ya nchi anatangaza imeibiwa hivyokuwaachia deni bima za kwao huku ashachukua hela. Mifano ipo na mengi ya case hizi ni toka Afrika Kusini. Kwahiyo, Hata huyu aeleze mazingira vizuri zaidi kabla watu wasiokuwa na hatia hawajadakwa bila sababu.
Mkuu Mbona Kama unaogopa? Unahusika nini?
 
Mkuu Mbona Kama unaogopa? Unahusika nini?
Siogopi ila napenda haki itendeke kwa anayeendesha gari hilo asije kuangukia kwa wakurupukaji pasipo kujiridhisha ya kutosha. Watu wanadhurumiwa sana kwa njia kama hii na wanaingia kwenye matatizo makubwa ilihali walinunua kihalali.
 
Kama nawaona wanavyohaha kuipata hiyo tracker, jamaa anajua mwenyewe alikoificha.

Hiyo kofia yake kama bado wanayo waiweke wampe, anaipenda sana. Amesisitiza kofia mara nyingi kuliko gari.
Gari kashalipwa na Bima ndio maana anahitaji kofia ambayo imepotea..
 
Jamani kwa jambo hili tuwe makini kidogo. Hawa watu wengine wanakuwaga wameuza wenyewe kihalali kabisa huko kwao, kwa vile utaratibu wao wa insurance na kununua ni wa kulipa huku unatumia, hivyo anauza halafu gari ikiondoka ikifika nje ya nchi anatangaza imeibiwa hivyokuwaachia deni bima za kwao huku ashachukua hela. Mifano ipo na mengi ya case hizi ni toka Afrika Kusini. Kwahiyo, Hata huyu aeleze mazingira vizuri zaidi kabla watu wasiokuwa na hatia hawajadakwa bila sababu.
SA huyo yeye anaenda ndani kwanza maana hakuna tracker inayozima baada ya muda ndio ianze kufanya kazi wazungu bhana wanatuona wote viazi..gari hata ulitupe baharini muda huo huo litasoma yeye tracker yake gari mpaka linafika Tanzania ndio anasema aisee..
 
Back
Top Bottom