Range Rover ya wizi yakutwa Bongo

Range Rover ya wizi yakutwa Bongo

byakunu

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
613
Reaction score
1,377
Ukisoma vizuri hiyo taarifa inaonesha jamaa aliiebiwa hiyo Range Uk aliweka tracker wahuni wali dissable tracker ikaja kutuma notification tayari imeshaingia bongo na imeonekana kwa Cashmoney car dealer inauzwa. Hii mipira mikali mikali ya mwaka wa mbele kutoka UK na Sauzi imekua mingi sana bongo, za kuwa nazo makini sana hizi. Muendelezo wa ishu sijui labda mchekini mmiliki wa gari huko fb anatoa update.

IMG_7906.png
 

Attachments

  • IMG_7914.jpeg
    IMG_7914.jpeg
    308 KB · Views: 22
  • IMG_7913.jpeg
    IMG_7913.jpeg
    245.3 KB · Views: 20
  • IMG_7912.jpeg
    IMG_7912.jpeg
    262.2 KB · Views: 20
  • IMG_7911.jpeg
    IMG_7911.jpeg
    286.7 KB · Views: 21
  • IMG_7910.png
    IMG_7910.png
    837.1 KB · Views: 25
  • IMG_7909.png
    IMG_7909.png
    1.4 MB · Views: 25
  • IMG_7908.png
    IMG_7908.png
    2.5 MB · Views: 25
  • IMG_7907.png
    IMG_7907.png
    1.8 MB · Views: 28
Uwezo wa gari sinaaaaa
Uwezo wa nyumbaa sinaaa

Uwezo wa magari sinaaa
Hata kibanda sinaaaa

Aaah ila kwakuwa nipo hai napumua.
Akiamungu tapambana ufurahi..

Ila kwakuwa nipo hai napumua..
Basi acha tukuimbieeee

Happy birthday....walllah
 
"KAJALA1 and 2 tena zote ni Range". sema reeeeeeeeeeeeeenjiiiii, watu wabaya sana, wanatamba na ma range ya wizi mtaani. Ninauhakika interpol wakiwa wanazitafuta hizi zote zinafichwa
 
Inabidi tuwa tag polisi wakajiokotee range la bure.
 
Jamani kwa jambo hili tuwe makini kidogo. Hawa watu wengine wanakuwaga wameuza wenyewe kihalali kabisa huko kwao, kwa vile utaratibu wao wa insurance na kununua ni wa kulipa huku unatumia, hivyo anauza halafu gari ikiondoka ikifika nje ya nchi anatangaza imeibiwa hivyokuwaachia deni bima za kwao huku ashachukua hela. Mifano ipo na mengi ya case hizi ni toka Afrika Kusini. Kwahiyo, Hata huyu aeleze mazingira vizuri zaidi kabla watu wasiokuwa na hatia hawajadakwa bila sababu.
 
"KAJALA1 and 2 tena zote ni Range". sema reeeeeeeeeeeeeenjiiiii, watu wabaya sana, wanatamba na ma range ya wizi mtaani. Ninauhakika interpol wakiwa wanazitafuta hizi zote zinafichwa
Kila mmoja ni mwizi hatujakamatwa tu,utakuta huyu ana range ya wizi yule ana simu ya wizi mwengine ana TV ya wizi mwingine kaiba mume au mke wa mtu alimradi kila mmoja ana udhaifu wake.
 
Mambo ya rangeeeeeee 😹
Ila jamaa kanichekesha kwenye msisitizo wa kofia yake pendwa alioacha siti ya nyuma…!! 🤣

Hiyo kofia yake ashauziwa jeshi (kondeboy) akae kwa kutulia…!!
 
Back
Top Bottom