Habari zenu wadau ,poleni na majukumu ya kila siku.nataka kununua range rover sport 2.7 tdv6 2006 model,ila nimesikia watu baadhi wakisema yana matatizo,ingawa sijapata maelezo kwa undani.Sasa shida kubwa niliyokua nayo ni kupata ushauri kutoka kwa watu wanaomiliki range rover au wenye uzoefu na haya magari ili nifanye uchaguzi sahihi...natanguliza shukrani