Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,673
- 19,196
Umemsahau Yosefu hapo....Yesu na Maria.....
Nimejuta kufungua hapa huku nimesimama, nimejikwaa nikaanguka mxyuuuuUmemsahau Yosefu hapo....
Nimekuja kukunyanyua. Ntarivenji japo ka IST.... naamini katakupa ahueniNimejuta kupungua hapa huku nimesimama, nimejikwaa nikaanguka mxyuuuu
Magu kashika pabayaIngekua wakati ule ungeliuza ila wakati wa magu kazi kwanza
Asante mkuu!!Hiyo picha uliochukua Google no ya evoque sio range unayomaanisha wewe,back to the topic ndo maana hizi gari hata baadhi ya wenye ukwasi hawanunui sababu ikifika kwenye kuliuza inakua kazi kweli kweli.wengine wamezipachika jina magari ya ndoa ya kikatoliki,huachani nalo.
ila 400m ni hatari hapo asee,kila la kheri.
Mkuu tayari nimesha pata mtu wa kuichukua! Jumatano inaondoka CongoHalafu kila baada ya muda mfupi inakuja model nyingine hapo ndo utakapotia akili na milioni 400 zako
nope! Siyo kuwa hali ngumu no! Napunguza idadi ya magari siona faida ya kuwa magari mengi wakati mwendeshaji hamna!Ingekua wakati ule ungeliuza ila wakati wa magu kazi kwanza
Mkuu tayari nimesha pata mtu wa kuichukua! Jumatano inaondoka Congo
Chuma kishauzwa hicho kaka....Gari inauzwa ni mpya kama inavyo onekana hapo range new model 2016 imetembea km 20 tu!! 400Mil only! Haina dalali<br />Napatikana Masaki Dar es salaam!<br /><br />
Mkuu hebu kuwa serious kama kweli wataka kufanya biashara. Weka tangazo lenye mvuto nikiwa na maana jitahidi kuweka maelezo yote yanayohusiana na bidhaa yako husika. Fanya tangazo liwe lenye mvuto hata mteja anakuwa hahitaji kukuuliza maswali
But all in all, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi wa malengo yako ya kuuza kwa haraka
Jamani mbona waendeshaji tupo, tunaendesha miguu tunope! Siyo kuwa hali ngumu no! Napunguza idadi ya magari siona faida ya kuwa magari mengi wakati mwendeshaji hamna!