Gari hizi zipo Botswana,kama upo serious tunakuletea hapo Tanzania ndani ya siku mbili,condition ni nzuri hazijawahi kupata ajali,zinatumiwa na matajiri wanao heshimu magari
duuh sasa hiyo P ndio pesa ngapi kwa hizi za kibongo alafu kodi analipia nani? au ndio nikitoa hz P ulizoweka hapo juu gari inakuwa nyumbani kwangu ikiwa na T 2015 CDM
Matajiri wa Huko ndiyo wanatumiaga migari kama hiyo? Hiyo Benz Bongo 4M, hilo RR likizidi sana bei 7M....Hebu badili hizo digits zako tuone kwenye TZS! Zile fursa za biashara ulikuwa unazitangaza ndiyo hizo? Njoo vizuri bana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.