Range Rover ikizeeka inakonda

Kwa speicifaction na ufanisi bora Land cruiser LC300 ni bora kuliko aina yeyote ya range rover.
Inategemea na mtumiaji.. kusema aina yeyote ya RR si kweli, Range Rover hizi latest zina luxury features ambazo LC haina, mfano mdogo tu RR hizi latest ni all wheel steering , ukipiga kona na tairi za nyuma zinapiga kona...

wenyewe wanasema RR zina cutting edge luxury features..

Mfano SV autobiography ,Ukija kwenye mwendo, muonekano, nguvu, interior na luxury LC haifiki, LC itaizidi RR kwenye durability..

Kinachopelekea RR kutokuwa reliable ni jinsi ilivyo complex kwenye electronics na mechanical tokana na luxury features ilizonazo... mfano hio feature ya all wheel steering tayari inaongeza complexity , hivyo RR latest ikipiga kona ina turning circle ndogo, unaweza piga kona katikati ya barabara ya njia moja na kugeuka chap...


Land Rover wame focus zaidi kwenye innovation, luxury features kuliko durability...

Wateja wa RR wanaangalia status, luxury, capability n.k kuliko durability, wateja wa LC watafocus zaidi na reliability...
 
Sio kwa roho mbaya au umasikini, RR kali kimuonekano ila ni ovyo kwenye reliability
Kuna jamaa anazo Arusha kila siku ndio wanatoka nazo na familia Benson nadhani na wanakua na matoleo mapya kabisa haya huwa nawakuta na hayo madudu mpaka Serengeti park ila kila siku yupo nalo road sema haya magari wengi wananunua huko yakiwa yashatumika sana yanahitaji service kubwa na ni gharama ndio maana yanawashinda hapa jirani fundi garage mmoja ndio analitumia kutafutia magari Limpopo,Durban sijui Cape Town huko mwaka wa tatu huu anaenda nalo hayo magari yana kodi zaidi 100m nilimletea mteja la mwaka 2018 ilikua 2020 alilipia kodi 83m Tunduma hapo ukichukua la miaka ya karibuni uta enjoy RR..
 
Kiufupi mkuu LC ni gari ngumu na yenye torquet kubwa kuliko RR.
Pia nadhani unajua engine za toyota zinaongoza kuwa na maisha marefu.
Pia engine ya LC300 ina nguvu sana hususan kwenye OFF ROAD.
Bro mie nasepa na LC300 kiuhakika.
 
mkuu LC300 ina nguvu kuliko RR in all aspects.
Pia kuna mwamba anaitwa toyota sequioa. Huyu ndio kabisaa.
Ukimuweka na land cruiser double cabin pickup.
 
Kiufupi mkuu LC ni gari ngumu na yenye torquet kubwa kuliko RR.
Pia nadhani unajua engine za toyota zinaongoza kuwa na maisha marefu.
Pia engine ya LC300 ina nguvu sana hususan kwenye OFF ROAD.
Bro mie nasepa na LC300 kiuhakika.
Ndio maana sijakataa kuhusu reliability...
Torque LC inazidiwa mbali na LC, hasa RR zenye V8 engine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…