RANGE ROVER FOR SALE; MIL 27(photo attached) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RANGE ROVER FOR SALE; MIL 27(photo attached)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mrekebishaji, Jun 29, 2011.

 1. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Piga simu, 0784 419030;

  Cc 3940


  Aircon

  Cd changer,

  Full tinted

  Petrol

  Km 138,000
   

  Attached Files:

 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Mmh nisije kufa kwa ukimwi bureee ,gari kama hili ni kujitakia matatizo bure kutoka kwa akina dada wa mjini
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe kabisa mkuu, kununua hili gari ni sawa na kununu Kona Bar ukawa unatembea nayo
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  hivi mtaacha wizi lini ...hii gari CIF 3300 ushuru 4.2m wewe unauza 27m..kama unabisha nenda Japanese Used Cars | BE FORWARD ..uone..acheni wizi bwana
   
 5. C

  Chief JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Bei inaweza kuwa ndogo lakini ushuru wa sasa komesha!! Kwa hiyo usidanganyike na hiyo CIF value......
   
 6. ChelseaBlue

  ChelseaBlue Senior Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ya mwaka 19..??
   
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  itakuwa model ya 1998
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ngoja niangalie uwezekano wa kukopa hata mimi nioshe...lol
   
 9. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Jamani asante kwa michango yenu. Itapendeza kama tutatoa michango inayomsaidia mnunuaji na muuzaji, maana hapa ni biashara.
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Heh heh we Kona bar mobile
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hakuna Gari ya Mil20 hapo.
  Ukipewa 15 katambike mizimu, gari yenyewe sjui ya 1997/98!!
   
 12. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwani umekabwa koo kununua, kule unakoona rahisi nenda huko ukanunue.
  Biashara ni huria, na inaelekea hujanunua gari na kuliingiza bongo wewe.
  Jaribu na hiyo address utupe uzoefu wako.
   
 13. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nimependa ufafanuzi wa majoja, kweli hili jukwaa l;iwe na maana ya kufafanua ukweli na sio kupotosha, kama mtu anajua ambako vitu bei rahisi atoe maelezo kuliko kupinga vitu bila ushahidi
   
 14. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,081
  Trophy Points: 280
  bora umesema hilo, kwa wale ambao hawakuwahi kufikiria kutelekeza gari bandarini wajaribu sasa waone JK/Mkulo/Kitilya walivychachamaa na mkakati wao wa kutop-up kiasi cha posho za vikao na safari
   
 15. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ushuru wa safari hii hakuna mtu kununua gari nje, eti hata kama ni used odometer inasoma 300000 ya 1995, ushuru wana anza kupigia bei ya lilipokuwa jipya! Hii ndo awamu ya nne-maisha bora kwa kila mtanzania!
   
 16. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wacha wajinga waliwe!
   
 17. C

  Chief JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Tunarudishwa nyuma miaka ile ambayo mtu kuwa na gari alionekana kama ametoka sayari ingine. Haiingi akilini ununue gari chini ya Shs 4M halafu ulipe kodi shs 11m. Ni wizi wa waziwazi wa serikali na sasa soko la used la magari ya ndani ndilo litapanuka. Baada ya miaka michache ijayo nchi itabaki na magari ovyo ovyo machakavu tu kwani wachache wataweza kuagiza magari toka nje.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Asante sana!!!
  Mi nangoja tu mwaka kesho mwezi wa tatu!!!
  Nitazichanga!!!
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  umeona eeh...kuna watu wanajifanya wajuaji sana wacha waaagize wakumbane na kina Kitillya...sasa hivi mtu mwenye gari yake used asiuze ovyo ovyo siku izi unauza kwa kujidai kabisa kamanda....
   
 20. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  20 huchukui mkuu?
   
Loading...