Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,493
- 145,851
Hhahahha....sorry but i just had to lol for a sec!!Why is it that some people like to act like they know you "well" when they damn well know that they don't know you?
You will hear somebody say..oh I know such and such...he is this and that...I know his family..and yadi yadi yada. Sucker please...do you really think you know who you think you know?
And some people dislike (I don't wanna use the word hate because it is too strong a word) people that they don't even know. I really get a kick out of this one.
You will hear people say 'I don't like him'....'he's too full of himself'....'he's conceited'....and other things of that nature. Hahahaaa get out....you've never even met that person you proclaim to not like so how can you reach that conclusion? You fuggin imbecile.
So what's the moral of the story here? The moral of the story is don't be too judgmental especially of people whom you don't know or things that you've never experienced.
That's it folks. Have a good one.
Hhahahha....sorry but i just had to lol for a sec!!
Nwy ukisikia mtu anasema anakujua taka kwanza kujua anajua nini kabla hujacharuka maana inawezekana kuna mtu anampa habari zako!!Kuna siku nilienda dada mmoja sehemu..alikua mgeni hapa mtaani kwetu hata wiki hajamaliza.Ila tuliyeenda kumuona though hawajawahi kukutana au hata kuongea alikua anamjua huyo dada kupita maelezo.Anajua mpaka mambo yake yasiyoelezeka!Kumbe kuna rafiki yake anakaa mkoa mwingine huke anam
Ignorance. First impressions are still at ignorant level. Judgments of other people stemming from your own insecurities are still at ignorant level. Hating people you've never even met and know nothing about comes out of ignoranceHhahahha....sorry but i just had to lol for a sec!!
Nwy ukisikia mtu anasema anakujua taka kwanza kujua anajua nini kabla hujacharuka maana inawezekana kuna mtu anampa habari zako!!Kuna siku nilienda na dada mmoja sehemu..alikua mgeni hapa mtaani kwetu hata wiki hajamaliza.Ila tuliyeenda kumuona though hawajawahi kukutana au hata kuongea alikua anamjua huyo dada kupita maelezo.Anajua mpaka mambo yake yasiyoelezeka!Kumbe kuna rafiki yake anakaa mkoa mwingine anamfahamu jamaa na alikua anatoa story za mwenzake mpaka jina....kwahiyo alivyojitambulisha tu akaambiwa ahhhh kumbe ndo wewe...aisee wewe nakujua sana.
Ila kama mtu hakujui kweli hua wanataka sifa tu!!
Na hao wanaochukia watu bila sababu wamekosa kazi yakufanya....
Ignorance. First impressions are still at ignorant level. Judgments of other people stemming from your own insecurities are still at ignorant level. Hating people you've never even met and know nothing about comes out of ignorance
hizo ndio DNA za uswahilini bana. Usishangae waifu wako home mshahara wako haujui halaf kuna memba tu hapa JF au fesibuk anaujua. hehehe kimewaka aiseeLizzy, muktadha hapa ni huu waki world wide web. Watu wana-form perceptions zao halafu wanazigeuza zinakuwa kama ndo uhalisia au ukweli wenyewe.
Usije shangaa kuna watu wewe "wanakujua" kuliko hata unavyojijua mwenyewe lakini hata siku moja hawajawahi kukuona na hata ukipishana nao njiani hawatakutambua.
Vidudu watu wa namna hii wanachekesha na kushangaza kwa pamoja!!!!!
Hahahhahaha kumbeeee....aiseee sasa hiyo ni hatari!!!Labda wanashindwa kutofautisha kati ya kuhisi na kufahamu/kujua!!!Na zaidi ni kwamba they have too much time on their hands.Lizzy, muktadha hapa ni huu waki world wide web. Watu wana-form perceptions zao halafu wanazigeuza zinakuwa kama ndo uhalisia au ukweli wenyewe.
Usije shangaa kuna watu wewe "wanakujua" kuliko hata unavyojijua mwenyewe lakini hata siku moja hawajawahi kukuona na hata ukipishana nao njiani hawatakutambua.
Vidudu watu wa namna hii wanachekesha na kushangaza kwa pamoja!!!!!
hizo ndio DNA za uswahilini bana. Usishangae waifu wako home mshahara wako haujui halaf kuna memba tu hapa JF au fesibuk anaujua. hehehe kimewaka aisee
All breads down to jealousy. They will hate the way you walk, talk, speak because they know they aren't you, insecure about themselves and may be you have something they don't.See, to me people are much more than first impressions and that is the reason why I always make a conscious effort not to allow it to be the basis of my opinion of others. But unfortunately not everybody is like me or thinks like me.
Ignorance. First impressions are still at ignorant level. Judgments of other people stemming from your own insecurities are still at ignorant level. Hating people you've never even met and know nothing about comes out of ignorance
Ohhhh alafu kitu kingine nnachochukia ni unakutana na mtu alafu mwingine anaanza kukwambia yule hivi na vile...usiwe karibu nae...sio mtu mzuri and all that kinda bs.Kuna mtu niliwahi kuambiwa nikae mbali nae ila kwasababu mimi ni mbishi na napenda kumjua mwenyewe na nikimpotezea iwe kwa sababu zangu mwenyewe nikakomaa nae.Matokeo yake tulikuja kuwa marafiki wazuri sana mpaka leo na kesho sijawahi kujutia kukutana nae!!
Hahahaha!!!!!Desh desh unasoma kitabu gani???!
Lol...just kidding!Unachosema ni kweli!!
Ohhhh alafu kitu kingine nnachochukia ni unakutana na mtu alafu mwingine anaanza kukwambia yule hivi na vile...usiwe karibu nae...sio mtu mzuri and all that kinda bs.Kuna mtu niliwahi kuambiwa nikae mbali nae ila kwasababu mimi ni mbishi na napenda kumjua mwenyewe na nikimpotezea iwe kwa sababu zangu mwenyewe nikakomaa nae.Matokeo yake tulikuja kuwa marafiki wazuri sana mpaka leo na kesho sijawahi kujutia kukutana nae!!
Kwahiyo wale wanaopenda kuwekea wenzao kagiza nao wabadilike....
Ankal uswahili soo hakufai kabisahizo ndio DNA za uswahilini bana. Usishangae waifu wako home mshahara wako haujui halaf kuna memba tu hapa JF au fesibuk anaujua. hehehe kimewaka aisee
dah! nyundo 52? Nikigonga hapo ndio natangaza ufataki rasmi. hivi vikina Lizzy sjui Husninyo naangusha tu.Wewe dawa chungu wewe mimi nakujua wewe. Umezaliwa 1959 pale wilayani Nangulukuru . Embu ngoja nipige mahesabu nione una umri gani.....2011-1959 = 52. Teh tih teh....
ankal umeelewa vizuri sana. Sred klosedAnkal uswahili soo hakufai kabisa
dah! nyundo 52? Nikigonga hapo ndio natangaza ufataki rasmi. hivi vikina Lizzy sjui Husninyo naangusha tu.
Walah tena wee ni khabithi mwanakharamu kabisa. Niko hapa kwenye duka la dawa baridi nimekuja kuchukua dozi yangu ya vayagra sasa mwenye duka anashangaa kwa nini nagalagala kwenye sakafu yake. Ahahahahaaaa…..na ongeza Afrodenzi kwenye hiyo list yako…..fataki mwanakharamu weeeee
hehehe halaf hili faif star signature nilikuwa sjalishtukia. Raisi wa wabeba maboksi, ndiye mimi.