Rammy Galis na mpenzi wake Hellen Huthut

Achana nae huyo ni mgomvi sana, kuna kipindi alinivamia from no where kama wewe.
Hiyo ndiyo kawaida yake asikuharibie mood.

Watu tunaanzisha uzi tupate umbea humu wengine wanaleta maugomvi
 
Cheki unavyotokwa povu! Hebu soma ulichoandika halafu jitazame kwenye kioo! Kwa kawaida uchafu mbaya ni mavi na hatupendi kabisa kusikia uwepo wake, lakini kuna wakati hutoa harufj kali kabisa ili tutambue uwepo wake!

we naeee heeebu muache mtoto wa watu!
khaaa utafkr akitiwa we unachubuka ngozi!
psyuuuuuuuu mabandikp.mangapi yabatoka jf hii?kwani ni kosa?
anzisha na wewe upate mke!
chaaaaa unamkomaliiiiiiiaaa ka unamjua!
 
atakua na kibamia halaf wanaume wazuri huongoza kwa vibamia

Au vidudu vyao havisimami vzur, akiingiza tu kashakojoa hoi bin taaban... ila wale wenye sura ngumu kama mpoki wakiikamatia mbunye shughuli yake utaisoma, ukitoka apo mbunye yote inawaka moto, hao masharobaro hamna kitu aiseh
 
Hilo jinamizi kuna kipindi lilinavamia kama huyu mdada, anapenda ugomvi sijapata kuona.
Ila mimi nilimpotezea kila alivyokua anahangaika na mimi nikawa nakaa kimya.

Ulifanya la maana kumpotezea mi kuna mmoja alianza kunitukana from nowhere bila sababu sijui baadhi hutumia viroba kabla ya Ku comment.
 

achana nao
 
Inawezekana pia kubadili sura yako.

Ukitaka hata jinsia kabisa, inabadilishwa...

Yeah its possible kabisa kubadilisha ila cha kujitesa nini Mpaka jinsia hapo majanga.
Mwisho wa siku ina side effects zake bora kubaki ulivo ubwa basi
 
Watu tunaanzisha uzi tupate umbea humu wengine wanaleta maugomvi

Naona mods wamefuta comments zake, tena apigwe ban ya mwezi mzima au zaidi.
Hafai kuwepo katika jamii ya watu kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…