Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,091
- 34,899
Heshima kwako mkuu kama vita ya kagera ulikuwa unajielewa hadi unosha nyama means umekula chumvi [emoji4][emoji4]Ninakumbuka enzi za nyama kufungwa kwenye gazeti la Uhuru, usipoosha vizuri unaweza kupika na karatasi.
Huo ulikuwa ni ule wakati wa vita ya Kagera.
Kama nilivyokuzoea wewe japo unanipiga kibuti tu......Jaman tutazoea tu
Kamoo bibiNinakumbuka enzi za nyama kufungwa kwenye gazeti la Uhuru, usipoosha vizuri unaweza kupika na karatasi.
Huo ulikuwa ni ule wakati wa vita ya Kagera.
Nani alikusimulia? Ha ha haaaa!!Ninakumbuka enzi za nyama kufungwa kwenye gazeti la Uhuru, usipoosha vizuri unaweza kupika na karatasi.
Huo ulikuwa ni ule wakati wa vita ya Kagera.