rambirambi ya Mafisango | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

rambirambi ya Mafisango

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jul 23, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  si kutaka kuwakumbusha wanaTanzania hasa wapenzi wa Simba juu ya machungu ya kuondokewa na mwanadinga Mafisango Mutesa Patrick bali ni kutaka kuhoji juu ya wapi ilipo rambirambi kwa ajili ya mwanadinga huyu.

  viongozi mnawajibika kwa hili.

  nb:mods ningeweza ipost hii kwenye sports lakini naona umuhimu wa kuijadili hapa
   
 2. m

  makumvi Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu, suala hili linatuweka njiapanda sisi wadau wa soka, hususani wanasimba. tulielezwa kuwa Simba wanasubiri msimamizi wa mirathi kutoka kwenye familia ya marehemu, maana inasemekana kuna watu wanakuja kudai wao ndo wanaopaswa huchukua rambi rambi za marehemu hivyo simba wamewaeleza wanafamilia wamlete mwakilishi wa familia ambae anatambuliwa kisheria.
   
Loading...