pilipili hoho
Member
- Jun 15, 2015
- 86
- 23
Mnaacha kujadili mambo ya msingi mnajadili Rambirambi
Kwani kuna shida gani serikali isijenge nyumba za waathirika huko Bukoba ambao watoto wao wamefaulu kwenda chuo kikuu..
Halafu hela hizo zikatumika kuwapa mikopo watoto wa huko Bukoba..
Kupanga ni kuchagua
Serikali inajua inafanya nini..
Na wala haina shida na Rambirambi..
Serikali hii ni tajiri..
Na kwa taarifa yenu tunaongeza ndege..
Kalaga baho