Kwa wale watakao hitaji ramani za nyumba, mimi ni Architect lakn bado siawa registered.. So kwa sasa nafanya residential Houses peke yake. Tuwasiliane kwa wale watakaokuaintrested, tuwasiliane. 0715321662 Tafadhali tusiwe wasumbufu kama sio muhitaji
Picha za nyumba ni nzuri na ninahitaji ramamni ya nyumba ya kuishi ya kisasa ya gharama ya kati. Simu yako nimeiona ila nahisi bei ya ramani itakuwa juu; ukweli nahitaji ramani
Bei inategemea na design unayotaka lakini sio bei yakutisha sana, Ramani nazotoa ni zote zinazohitajika hadi nyumba kusimama pamoja na michoro ya 3D..
<br><strong><font size="4"><font color="#b22222">Wacha kamba .... .... ..... sasa hizo za 3D si za mbwembwe tu</font></font></strong>
Mmh.. mbona unakua na jazba mkuu, 3D inatumika kuonyesha picha tarajiwa ya kile kilicho disgniwa kwenye hiyo michoro mingine niliyosema ambayo mara nyimgi watu wengine wanakua hawaielewi sana kwa sababu hiyo michoro anapewa fundi kwa ajili ya kujengea na ndio maana siku hizi tunatoa na 3D ili client aweze kuelewa zaidi.
Hazifanani, Bali ndio hizohizo!!Ni zangu. kama ni Architect basi hamna shaka, kwa namna moa au nyingine zinaweza zikawa zimemfikia au labda zinafanana pia.
Nahitaji nyumba ndogo ya gharama nafuu yenye 3 bedrooms (moja iwe master), Dining, jiko, sitting room na public toilet/bathroom. Paa simple ambalo halihitaji ukataji mwingi wa bati. Preference m2 80 ikizidi sana 90. Bei yako hapo ikoje kwa kuanzia?Ni pm kama hupendi kuweka hapa. Asante!
Kwa wale watakao hitaji ramani za nyumba, mimi ni Architect lakn bado siawa registered.. So kwa sasa nafanya residential Houses peke yake. Tuwasiliane kwa wale watakaokuaintrested, tuwasiliane. 0715321662 Tafadhali tusiwe wasumbufu kama sio muhitaji
Mm nilikuwa nahitaji kitu ya corridorless 3 bedrooms embu onyesha ufundi hapo