Ramani za nyumba

khauka

Senior Member
Jan 26, 2011
100
4
Kwa wanao hitaji ramani za nyumba tuwasiliane 0715321662, mimi ni mchoraji wa hizo ramani.. From Ardhi University
NB: kama hauna nia tafadhali usiwe msumbufu
 
Kwa wanao hitaji ramani za nyumba tuwasiliane 0715321662, mimi ni mchoraji wa hizo ramani.. From Ardhi University
NB: kama hauna nia tafadhali usiwe msumbufu

mkuu nyumba ndogo ya vyumba 3 self contaned unachorea bei gani tafadhali!
 
Hata mimi nahitaji mkuu jibu fasta, 3 rooms including master bed.
 
Kwa wanao hitaji ramani za nyumba tuwasiliane 0715321662, mimi ni mchoraji wa hizo ramani.. From Ardhi University
NB: kama hauna nia tafadhali usiwe msumbufu

Weka bei mkuu
 
yaani nyie mnataka aweke bei hadharani eeh?? ;-) pigeni tu simu msikie bei halafu njooni nayo hapa!
 
Dah kweli mi sina utaalamu wa ramani na kwa sasa nahitaji na natarajia nifanye kaujezi fulani. Kimsingi Mi nataka ramani ya mabanda ya nguruwe. Naamini unaweza kuniandalia gharama sio tatizo kwa mwenye kuhitaji kweli. Asante
 
Umeongea sahihi ndugu Naivasha..
Wakuu, ningependa muelewe kwamba ramani za nyumba zinaweza zote zikawa na vyumba vitatu kama mnavyohitaji lakini zikatofautiana bei kulingana na design itakvyofanyika na maranyingine kulingana na site ilivyo maana site pia inachangia sana final product ya raman au design itatokaje.. Mimi nawashauri msiwe waoga, muhim ni kuonana then niwaoneshe baadhi ya kazi nilizofanaya pamoja nakuwaeleza utaratibu wangu wakazi hadi pale ramani inapoisha au hadi pare jengo linapo simama. kwa mwenye kuhitaji sana nadhani bei sio tatizo kwani hayo mambo yanoengeleka tu na mwishoni kazi nzuri itafanyika.
 
Hilo linawezekana kabisa Ndugu hasa kwa wale wanaojali mifugo yao na wale wanaopendelea ufugaji bora wa kisasa, muhimu ni requirements zako tu na kazi itafanyika.
 
kaka nawe usiwe mwoga pia wa kutoa design zako kwani huenda mtu akavutiwa na hizo design akakutafuta. pia kuhusu bei waweza weka initial price lakini ikawa negotiable.Hii ni biz nzuri itumie vizuri uta enjoy mwenyewe.
 
Mkuu cha msingi weka highlights, wengine hatuko Dar, tutakuwa tunafanya kazi online tu tukikuelewa vizuri.
 
sawa wakuu.. kwa kufuata ushauri.. Ni kwamba mimi nafanya residential houses sio chini ya laki 3 na inapanda kulingana na requirements za mtu na nyumba za ghorofa sio chini ya laki 5.. zaidi ya hapo labda kama kutakua na maswala ya kusimamia ujenzi hadi stage flan au hadi nyumba yote itakapo simama hizo pia ni gharama zingine. Nimeweka baadhi ya picha za baadhi ya residential houses sijaweka floor plans kwa sababu za kikazi, i hope mtaelewa..

1.jpg 2.jpg View attachment HOUSE-02-G.bmp View attachment jamii 1.bmp View attachment jamii 3.bmp View attachment jamii 4.bmp View attachment jamii 5.bmp View attachment HOUSE-02-B.bmp View attachment HOUSE-02-F.bmp View attachment HOUSE-02-E.bmp mly pic2.jpg mly pic.jpg
 
Attachments

  • ACCamera.jpg
    ACCamera.jpg
    689.8 KB · Views: 281
sawa wakuu.. kwa kufuata ushauri.. Ni kwamba mimi nafanya residential houses sio chini ya laki 3 na inapanda kulingana na requirements za mtu na nyumba za ghorofa sio chini ya laki 5.. zaidi ya hapo labda kama kutakua na maswala ya kusimamia ujenzi hadi stage flan au hadi nyumba yote itakapo simama hizo pia ni gharama zingine. Nimeweka baadhi ya picha za baadhi ya residential houses sijaweka floor plans kwa sababu za kikazi, i hope mtaelewa..

View attachment 49925 View attachment 49926 View attachment 49928 View attachment 49929 View attachment 49930 View attachment 49931 View attachment 49932 View attachment 49933 View attachment 49934 View attachment 49935 View attachment 49936 View attachment 49937

Mkuu, hebu tutafutane fasta fasta.

In 2 weeks nitakuwa Bongo tunaweza kuonana tufanye kazi.
 
Inawezekana ikawa kweli mkuu lakn marazote ni kwamba mchoraji anafata maelekezo ya client ya client wake yan final product inakua au inatakiwa kua kile anachotaka client zaidi ya hapo itakua labda watu wananunua tu raman..
 
Khauka kweli we babkubwa! Nimevutiwa na hizo picha hadi nikaanza kutafakari juu ya mipango yangu ya sasa. Kweli biashara matangazo. Namna hiyo watu wanashawishika na waanza kuelewa unachomaanisha. Lakini nimeangalia kwa makini nimebaini hiyo ni design moja view tofauti. Ebu weka designs tofauti.

Kwa upande wangu nin augonjwa wa ghorofa. Ndo plan yangu. Sitaki kubwa mfano: Ground Floor iwe na Kitchen, Public toilet, Bed room 1 na Lounge ya uhakika; First Floor iwe na Master Bed Room (self cont), balcony na Lounge na Second Floor iwe Master Bed Room (self cont), balcony. Kiwe kijumba executive.

Haya ni mawazo yangu lakini nakubali kukosolewa na kusahihishwa na nakubali ushauri ili kuboresha plan hii na ili nyumba iwe nzuri na yenye kujitosheleza. Ebu niwekee picha tu
 
Back
Top Bottom