Ramani za nyumba

Ramani za nyumba

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Habari zenu jamani,napenda kuuliza kwa wajuzi eti kiwanja chenye upana wa mita 11 na urefu mita 15 je mtu unaweza ukajenga nyumba ya kuishi kwa vipimo ivyo
 
Duh! Labda kama unazungumzia Banda... sio nyumba.
 
Kuna kiwanja kama icho changu jirani yangu tena asikari katoa nyumba kwa vipimo ivyo vya nyumba,Ama unavyozungumzia nyumba unataka yenye garden na baraza kubwa sio
 
unajenga kbsa, maana hapo una
36*49 ft
 
Kuna Uzi aliuleta DADA yetu Sky kuhusu nyumba hauna hata wiki,pitia kuna nyumba had I za chumba kimoja na viwili na ramani juu,
Hapo huwezi kosa tena demand yako.
Thanks for reading,
Have a good weekend
 
Habari zenu jamani,napenda kuuliza kwa wajuzi eti kiwanja chenye upana wa mita 11 na urefu mita 15 je mtu unaweza ukajenga nyumba ya kuishi kwa vipimo ivyo
Kuna kiwanja kama icho changu jirani yangu tena asikari katoa nyumba kwa vipimo ivyo vya nyumba,Ama unavyozungumzia nyumba unataka yenye garden na baraza kubwa sio
Nahisi nazeeka vibaya sasa, kiasi kwamba nashindwa kuelewa endapo hapo juu ni watu wawili tofauti au ni mtu mmoja!

☎ 911
 
Nasema ivi ivyo viwanja vipo viwili sehemu moja ila icho kimoja nilikuwa nina mpango wa kukinunua ndio maana nikauliza
 
Uwanja wa mitandao 10x15 unatoa nyumba lakini ndogo. Kwa mfano unaweza kupata Sebule, Bwalo, Jiko, choo na vyumba viwili vya kulala na ukabakiwa na sehemu ya bustani na maegesho kidogo nje.

Jambo la msingi ainisha kwanza mahitaji yako na kutokana na hayo ndio utaona kama uwanja unatosha ama la.
 
Kuna kiwanja kama icho changu jirani yangu tena asikari katoa nyumba kwa vipimo ivyo vya nyumba,Ama unavyozungumzia nyumba unataka yenye garden na baraza kubwa sio
Kama jirani yako ameweza kwanini sasa umekuja kuuliza hapa? Si ungefuata nyayo zake?
 
Nasema ivi ivyo viwanja vipo viwili sehemu moja ila icho kimoja nilikuwa nina mpango wa kukinunua ndio maana nikauliza
Sasa unauliza ikiwa 11x15 kinafaa kujenga na wakati huo huo unasema kuna jirani kajenga nyumba poa tu kwa kiwanja chenye ukubwa sawa na hicho!!

Sasa huoni concern yangu ipo wapi?!
 
Uwanja wa mitandao 10x15 unatoa nyumba lakini ndogo. Kwa mfano unaweza kupata Sebule, Bwalo, Jiko, choo na vyumba viwili vya kulala na ukabakiwa na sehemu ya bustani na maegesho kidogo nje.

Jambo la msingi ainisha kwanza mahitaji yako na kutokana na hayo ndio utaona kama uwanja unatosha ama la.
Ok,mfano nataka kwenye up 11 na ur 15 nipate vyumba vitatu vya kulala,jiko na sebure je itawezekana,
 
Kuna Uzi aliuleta DADA yetu Sky kuhusu nyumba hauna hata wiki,pitia kuna nyumba had I za chumba kimoja na viwili na ramani juu,
Hapo huwezi kosa tena demand yako.
Thanks for reading,
Have a good weekend
Naomba linki ya huo Uzi mkuu
 
Back
Top Bottom