Ally M Hassani
Member
- Dec 5, 2017
- 21
- 5
Kwa mahitaji ya raman za nyumba zilizobora kabisa nicheck whasapp/=0718-892233 or call me sehemu/ mkoa wowote tunafanya kazi
Mnaniachaga hoi sana, yaani kujata bei inakuwa sijui kuna uzito gani. Mnatia wasiwasi wateja, mawazo yanayoniijia nikiona majibu ya njoo pm, njoo WhatsApp baada ya kuulizwa bei ni: huenda PM ("chobingo") kila mtu unampa bei yake, aliyepigwa na aliyefanyiwa fair wote mnamaliza biashara pasipo maneno, sasa kama sivyo kwanini usiwatajie bei hao waliouliza specifically? ndio labda uwaambie ila mazungumzo yapo nk. Badilikeni bwana, Yale mambo ya kuingia mtumbani ukishika kiatu ukauliza bei anakwambia "we utanipa ngapi" mi naona ya kishamba sanahyo in vyumba viwili one master bed room bei zinatofautiana kiongoz 0718-892233 nichek hapo
Do you want to compare his prices with yours, sir?BOQ unatoa? Je vyumba mbili sebule na mengineyo ya muhimu ni kiasi gani? How much do you charge for site visit?
Mi sio mhandisi wa majengo na sio mtaalamu wa ramani...Do you want to compare his prices with yours, sir?
TrueKama mfano ndo huu Basi ni mbaaayaa kiroho safi tu nakuambia mkuu