Ally M Hassani
Member
- Dec 5, 2017
- 21
- 5
- Thread starter
- #21
Huo ni mtazamo wakoTrue
Huo ni mtazamo wakoTrue
Hebu weka raman ya hili banda tuone kama vipimo umepatia, mana wasomi wa siku hizi nyie Mna msongo wa mawazo sana unaweza ukakuta nyumba haina mlango......Architect technologist.......
3-bedroom (1-master bedroom)
Lounge (living room)
Dinning
Kitchen + store
Public toilet........
Follow allysstech on instagram for a good designing of buildings
Whatsapp/call:+255718-892233/+255752-392233View attachment 822319
Niweke ili ukajenge au? Hii ni taaluma ya mtu MzeeHebu weka raman ya hili banda tuone kama vipimo umepatia, mana wasomi wa siku hizi nyie Mna msongo wa mawazo sana unaweza ukakuta nyumba haina mlango
Niweke ili ukajenge au? Hii ni taaluma ya mtu Mzee hii kazi kama kazi zingineHebu weka raman ya hili banda tuone kama vipimo umepatia, mana wasomi wa siku hizi nyie Mna msongo wa mawazo sana unaweza ukakuta nyumba haina mlango
Nicheki private ili ujue ni ya kisasa au sio?Mkuu, mbona umeweka picha moja tu, tena ya nusu nyumba? Ungeweka picha kadhaa, hadi za ndani, tuone kama kweli ni ya "kisasa zaidi"
Unataka nikuweke na raman kabisa kweli unaakili za wap ww?hilo bati mbona limelala sana, kama vile Dream liner. Nyumba haina geti. hawa vibaka wa tandale itakuwaje?.
Ramani zenyewe ziko wapi zaidi ya hiyo 3D picture (simulator)?.
kuwa serious basi.
Imawezekana ila sikuzidi wwmkuu elimu yako ni ya pakistan ??? maana wa pakistan ni vilaza sana... ndio maana wana pata tabu sana huko Peshawar
Weka ya kwako bac tuioneKama mfano ndo huu Basi ni mbaaayaa kiroho safi tu nakuambia mkuu
Thanks kiongozSafi sana.
Wacha maneno ya mwambao dogo.Unataka nikuweke na raman kabisa kweli unaakili za wap ww?
Unajua kiongoz kuna watu ambao wanafanya kitu kwa kukusudia kabisa mtu kama huyo sidhani kama tunaendana mtu mpka anakutusi kweli?Afande kagoma.
Sasa mi nikafikiri unauza ujuzi wako kwa kumuonyeshea mtu ili akutafute badala yake unaringa.
'Nikupe ukajenge' haiko kiungwana ungekua hata na ramani mbili za kuonyeshea tu ila hili jibu siyo mzee.
Halafu punguza majibu shit, mtu akiandika shit huna sababu ya kumrudishia kwakua hapa wewe una vingi at stake kuliko utakayemrudishia.
Hii ni kutoka kwa kijana mwenzako kwenda kwako kijana mwenzangu.
True ukizingatia ramani zake mbayaaa harafu kamoja tu kama bashiteAfande kagoma.
Sasa mi nikafikiri unauza ujuzi wako kwa kumuonyeshea mtu ili akutafute badala yake unaringa.
'Nikupe ukajenge' haiko kiungwana ungekua hata na ramani mbili za kuonyeshea tu ila hili jibu siyo mzee.
Halafu punguza majibu shit, mtu akiandika shit huna sababu ya kumrudishia kwakua hapa wewe una vingi at stake kuliko utakayemrudishia.
Hii ni kutoka kwa kijana mwenzako kwenda kwako kijana mwenzangu.
Rudi shule kasome customers Care kwanza ndo uingie kwenye biasharaUnajua kiongoz kuna watu ambao wanafanya kitu kwa kukusudia kabisa mtu kama huyo sidhani kama tunaendana mtu mpka anakutusi kweli?
Umeona wanavyoweka matangazo wenzio wanaojua wanachokifanya hawana muda wa kubishana na wateja wao kazi tu. Wewe uko busy kibishana nao wakati ndo wateja wako wenzio wanakufanya zuzu.Weka ya kwako bac tuione