Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Safi sana mkuu...Umeona wanavyoweka matangazo wenzio wanaojua wanachokifanya hawana muda wa kubishana na wateja wao kazi tu. Wewe uko busy kibishana nao wakati ndo wateja wako wenzio wanakufanya zuzu.
#we design
#we build
#we renovate
a three bed room house designs by 0654874702
contents
-master bed room with a dressing room
-two bed rooms(one self contained)
-studying room
-public washroom
-kitchen
-store
-dinning
-sitting room
-entry & kitchen veranda
#archdesigns#housebuilders#kijiko
***0654874702***
Unafikiri mtu kama huyo ataulizwa maswali ya kibuuzi kama inavyoulizwa wewe. View attachment 822957View attachment 822958View attachment 822959View attachment 822960View attachment 822961
Dogo mleta uzi, huu ni ushauri mzuri sana kwa career yako usikilize!
Usilete ujuaji kwenye utafutaji.
Kuna wajuzi zaidi yako.