masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,218 Jul 20, 2015 #1 Please msaada wakuu nahitaji ramani ya kafamasi kwenye vyumba viwili ambacho vitakuwa na vioo mbele lakini itakuwa na mlango mmoja wa kuingilia Mahitaji yake mpaka bati,toa manpower maana ni countryside nimewaza mpaka kichwa kinauma. Naomba msaada.
Please msaada wakuu nahitaji ramani ya kafamasi kwenye vyumba viwili ambacho vitakuwa na vioo mbele lakini itakuwa na mlango mmoja wa kuingilia Mahitaji yake mpaka bati,toa manpower maana ni countryside nimewaza mpaka kichwa kinauma. Naomba msaada.
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,218 Jul 20, 2015 Thread starter #2 mods why mmeileta huku?