mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
- Thread starter
-
- #21
Mwenye utaalam aniwekee raman ya nyumba nzur ya kuish[/QUOTE
" usipende vitu vya bure achana na dezodezo,usipende kula vya watu huku hujui mchezo "
by young challiz featuring tundaman (2011)
Huna lolote ueaish kwenye nyumba ya kupanga
mimi nakaa ya urithi! jasho la baba yanguHuna lolote ueaish kwenye nyumba ya kupanga
sasa wewe unatakadezo alafu utaki kutoa naniliiiiiiiiiii
Nenda posta mpya kuna mmachinga anauza ramani za majengo,ni ajabu sana kama ndo umegundua leo watu wengi waishi nyumba za kupanga.Tatizo sio pesa ya kulipia raman nilicho gundua wengi wenu mnaishi nyumba za kupanga
mimi nakaa ya urithi! jasho la baba yangu
sasa wewe unatakadezo alafu utaki kutoa naniliiiiiiiiiii
Tupia hata hio ya urith japo itakuwa ya kizaman
Yaani sisi tugharamie michoro kwa wacoraji halafu wewe unataka dezo!!!! Inakushinda kutoa laki 5 uchorewe? Vijana wa ardhi university hata laki 3 wanapokea na wanakufanyia kazi nzuri!!! Acha kupenda dezo wewe!!
Yaani sisi tugharamie michoro kwa wacoraji halafu wewe unataka dezo!!!! Inakushinda kutoa laki 5 uchorewe? Vijana wa ardhi university hata laki 3 wanapokea na wanakufanyia kazi nzuri!!! Acha kupenda dezo wewe!!
Nenda posta mpya kuna mmachinga anauza ramani za majengo,ni ajabu sana kama ndo umegundua leo watu wengi waishi nyumba za kupanga.
kariakoo hakuna ya kizamani! ni hot cakeTupia hata hio ya urith japo itakuwa ya kizaman
sasa wewe mlala hoi unataka kujenga nyumba au kibandaHao vijana wamesoma kwa kod ze2 cc walalahoi
Atubanii bhana,tena tunaomba wengi mjenge vibanda vyenu huko nje ya miji mtupe nafasi huku magomeni.Nimegundua weng mnaoish nyumba za kupanga ndo mnao nibania coz mnaona ntajikwamua
sasa wewe mlala hoi unataka kujenga nyumba au kibanda
kariakoo hakuna ya kizamani! ni hot cake
Tupia mkuu ntahakikisha chumba kwa ajili yako kama ukija Mwanza
anaruhusiwa kuwa na kibanda cha kujihifadhikaka taratibu kwan mlalahoi haruhusiwi kuwa na Nyumba nzuri?
Atubanii bhana,tena tunaomba wengi mjenge vibanda vyenu huko nje ya miji mtupe nafasi huku magomeni.
ficha upumbavu wako mkuu,unataka kujenga halafu unaogopa gharama za ramani?kama vp poa mpe fundi apime hatua achimbe msingi then ajenge...
anaruhusiwa kuwa na kibanda cha kujihifadhi
kama huna msaada kwake si upite ya nini kutukana .....masihara yako ya kunyimwa ...... Unawaletea watu hadharani jifunze adabu !
Mkuu tembelea web kama hizi utapata idea ya kitu unapenda!!