yuda75 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 520 Reaction score 1,403 Aug 31, 2020 #1 Habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa. Kiwanja changu ni 15*15 kipo Arusha ila mmi nipo DSM kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa. Msaada wenu au ushauri wadau.
Habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa. Kiwanja changu ni 15*15 kipo Arusha ila mmi nipo DSM kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa. Msaada wenu au ushauri wadau.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,107 Reaction score 55,524 Aug 31, 2020 #2 yuda75 said: habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa kiwanja changu ni 15*15 kipo arusha ila mmi nipo dsm kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa msaada wenu au ushauri wadau Click to expand... Kuna jamaa mmoja yupo humu alinichorea jengo langu, ramani pamoja na 3D; yupo vizuri,kama utaitaji mawasiliano nitakupatia...yupo Mwanza lakini.
yuda75 said: habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa kiwanja changu ni 15*15 kipo arusha ila mmi nipo dsm kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa msaada wenu au ushauri wadau Click to expand... Kuna jamaa mmoja yupo humu alinichorea jengo langu, ramani pamoja na 3D; yupo vizuri,kama utaitaji mawasiliano nitakupatia...yupo Mwanza lakini.
yuda75 JF-Expert Member Joined Aug 16, 2020 Posts 520 Reaction score 1,403 Aug 31, 2020 Thread starter #3 Equation x said: Kuna jamaa mmoja yupo humu alinichorea jengo langu, ramani pamoja na 3D; yupo vizuri,kama utaitaji mawasiliano nitakupatia...yupo mwanza lakini. Click to expand... Ok.
Equation x said: Kuna jamaa mmoja yupo humu alinichorea jengo langu, ramani pamoja na 3D; yupo vizuri,kama utaitaji mawasiliano nitakupatia...yupo mwanza lakini. Click to expand... Ok.
Peril22 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,850 Reaction score 3,201 Aug 31, 2020 #4 Kuna jamaa ni fundi sana katika hizi kazi,,,naposema fundi namaanisha mkuu. Yupo Dar ukitaka kufanya nae kazi nitakupa namba pm.
Kuna jamaa ni fundi sana katika hizi kazi,,,naposema fundi namaanisha mkuu. Yupo Dar ukitaka kufanya nae kazi nitakupa namba pm.
Yerusalem Member Joined Oct 5, 2011 Posts 71 Reaction score 77 Oct 19, 2020 #5 Equation x said: Kuna jamaa mmoja yupo humu alinichorea jengo langu, ramani pamoja na 3D; yupo vizuri,kama utaitaji mawasiliano nitakupatia...yupo Mwanza lakini. Click to expand... Mkuu na mimi naomba namba ya huyo jamaa niko mwanza
Equation x said: Kuna jamaa mmoja yupo humu alinichorea jengo langu, ramani pamoja na 3D; yupo vizuri,kama utaitaji mawasiliano nitakupatia...yupo Mwanza lakini. Click to expand... Mkuu na mimi naomba namba ya huyo jamaa niko mwanza
N nyano Senior Member Joined Mar 8, 2013 Posts 132 Reaction score 129 Oct 19, 2020 #6 Yerusalem said: Mkuu na mimi naomba namba ya huyo jamaa niko mwanza Click to expand... nko mwanza pia naweza pata namba ya jamaa
Yerusalem said: Mkuu na mimi naomba namba ya huyo jamaa niko mwanza Click to expand... nko mwanza pia naweza pata namba ya jamaa