MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,993
- 34,867
Hakuna graduate Wa Ardhi aliyesoma structural engineering kwa hiyo past three years unayosema.......we we umesoma environmental engineering...... Achana na majengo mkuu.....
hahahaha........
Hakuna graduate Wa Ardhi aliyesoma structural engineering kwa hiyo past three years unayosema.......we we umesoma environmental engineering...... Achana na majengo mkuu.....
We muongo. Miaka 3 bado ni graduate Engineer tu. Unaonekana hauko competent
inaonekana we jamaa ni mkurupukaji mi nimesema mimi ni graduate engineer niliyekuwa Registared ERB nadhani unajua before kuwa registared engineer lazima uwe registared as graduate engineer pia Kuna Environmental Engineer Ardhi iko long time pale Ardhi before haijaja civil engineering ambayo sisi tumeiacha ndo inaanza.
thanks for your perspective
Pata ramani hii kwa shilling laki moja tu(100,000) contact 0758929087
acha kupotosha watu.
1.
4. nafkir jipange. architectural consultancy sio kirahisi kama ivo. kuweka picha na kujitangaza unafanya kazi kwa laki 1 tu. watu wanafanya real investments, wanaweka milliotns from loans, long time savings kujenga nyumba, usichukulie rahisi ivo.
5. nafkir japo nimekufungua macho, tafadhali naomba usitumie taarifa hizi kuzidi kudanganya wengine.
inaonekana we jamaa ni mkurupukaji mi nimesema mimi ni graduate engineer niliyekuwa Registared ERB nadhani unajua before kuwa registared engineer lazima uwe registared as graduate engineer pia Kuna Environmental Engineer Ardhi iko long time pale Ardhi before haijaja civil engineering ambayo sisi tumeiacha ndo inaanza.
Na wewe acha ku exaggerate na kuudanganya watu kwamba value ya kazi na competence inapimwa kwa prices zake.
Usitake kuwakaririsha watu kwamba ujenzi wa nyumba ni milions of loans,ama long term savings as if uzoefu wako ndiyo standard ya dunia.
Pamoja na arguments zako kuhusu professionalism zake na academic qualifications, ulipaswa pia kukubali kwamba mtu anapanga bei kwa misingi mingi sana na si ramani za nyumba zote zina value sawa.
Unajuaje kama ame target low income earners ambao hawana uwezo kama unavyoota?
Unajuaje kama anafanya marketing ili kujipambanua kwa watanzania walio wengi kuliko hao unaowasema wewe wenye ku access housing loans kutoka banks?
Unajua anatumia gharama gani katika kila ramani moja ili useme ana charge low? Au umekariri kwamba watu wanaopata super profits ndiyo wataalamu?
Je kama ni subsidized project yenye lengo maalumu ambapo hawezi tu kusema moja kwa moja kwa kuongopa msongamano na kupata watu wasio na hata seriousness katika ramani zile?
Kwa mtu asiye endeshwa na self pride, arrogance na dharau, hawezi kukandia kazi ya mtu kwa kuwa eti ana charge bei ndogo.. Halafu eti unasema "usichukulie rahisi hivyo", utafikiri watu wote wana hizo laki za ramani na ama umeshajua yeye ameingia sokoni bila ku pilot test.
Samahani sana kwa hiyo statement yako haijafurahisha, labda ungishia tu kwenye elimu na taaluma, lakin kwenye bei, umekariri!.
investa.tz
sio vizuri kuhumu watu usio wajua, na mimi si mwanafunzi wa AutoCAD wa nyumbani kama unavyotaka kuwaaminisha watu bali mimi ni graduate engineer niliyesajiliwa na ERB kutoka chuo kikuu cha Ardhi mwenye uzoefu wa miaka 3 katika fani ya hii.
Mkuu maybe this is not your league to play: Nyumba zote za middle income earners zinatumia millions of money - sikuhizi hata banda la kuku ni zaidi ya milioni. The point is after saving or morgaging all those millions you definately want to get it right. Hii ndio dhana ya mtaalamu mwenzake kutoa angalizo hapa.
Na kama unafuata kanuni za ujenzi (bahati mbaya manispaa zetu hazina means ya kuaudit) ni lazima upeleke mchoro uliochorwa na mtu mwenye taaluma ya kutambulika . Binafsi pia kwa vibanda vyangu vya kawaida sijaona mtu anajisell this low labda kama unajenga ka jumba ambako huna majasho nako wala hujainvest nacho vya kutosha. Its like you wanting to buy a car and someone offers a ferari for 5M TSH , you must raise an eyebrow.
Na tatu it was just a caution; so take it at your own risk or leave it .
acha kupotosha watu.
1. graduate engineer kutoka chuo cha ardhi: chuo cha ardhi kimeanza kufundisha course ya civil engineering katika department ya Building economics juzi tu, na graduate kwa kwanza ni mwaka huu yani november 2014 ilifanyika diamond jubilee yani graduation ceremony.
2. usajili ERB: ili uwe umesajiliwa erb moja ya vigezo ni muda usiopungua miaka mitatu, na kwa civil/structural engineer mara nyingi uwe kwenye firm ya ujenzi au engineering consultancy. kama umesoma ardhi sijui umesajiliwa lini maana umemaliza juzi november
4. a registered civil/structural engineer ni mhitimu na msajiliwa katika taaluma ya engineering, architecture ni field nyingine na wanaiheshimu, na kufanya kazi pamoja na architects. registered engineer hawezi kua na hadhi ya laki moja. pia sijui we engineer yupi.. structural, civil, mechanical, ict etc.
4. nafkir jipange. architectural consultancy sio kirahisi kama ivo. kuweka picha na kujitangaza unafanya kazi kwa laki 1 tu. watu wanafanya real investments, wanaweka millions from loans, long time savings kujenga nyumba, usichukulie rahisi ivo.

Nimeisoma na nimeilewa kama ulivyoainisha mkuuNinatamani ungekuwa mtulivu kabla ya kurespond bila kuelewa nilichosema.
Na mimi natamani ungekuwa mtulivu kabla ya kumisinterpret logic hii
Unaongelea middle earners, mimi nilisema low earners. Whats the line btn middle and Low - we can agree to disagree
Unaongea habari ya nyumba, mimi naongelea habari ya mchoro. the two are directly related - having the correct mchoro gets u to right nyumba
Huja consider other posibilities ambazo mwenye offer hajaziongelea zinazoweza ku lower price. Unataka kusema nini? Povu la nini- Nataka kusema investment ya nyumba ni lifetime commitement , making the right decisions at every stage is crucial
Kwamba sikai Tanzania hahaa- this is your own inferior judgement ama sifahamu pricing ama sina nyumba ama sifahamu values za nyumba mbali mbali? hahaa this is your opinion and you have the best answer mkuu
Unataka kkusema michoro yote inakwenda kwenye hizo millions? --nowhere is it said yote
Tafadhali kiongozi naomba uwe realistic Realistic is subjective term and depends on the ones interpretetion pia usome uelewa hoja yangu.
Wewe nenda kasajiliwe na NEMC tu , ufanye EIA na ENVIRONMENTAL AUDITING. haya mambo waachie wenyewe
vinapishana kivipi?it's better ukafafanua