hii nini sasa? ya kwangu ina roof and sides
Lakini ni nzuri na rahisi kuitafsiri kuliko yako...
hii nini sasa? ya kwangu ina roof and sides
you must be jealous, huwezi kusema hiyo nzuri, may be kwa upeo wako mdogo hiyo ni nzuri na unaielewa kirahisi,
wewe ni wale wale huna hoja, sasa uliyoiweka ina ubora upi hasa kushinda hii? just wait there are many more to come
sajosojo haujanijibu post yangu # 35 kuhusu uwezekano wa marekebisho. Jibu tafadhaliyour welcome
Mnatunishiana misuli kwenye design, nawashangaa sana
thanks for your blessings, ila uache kuleta ujuaji kwenye biashara za watu, wakati haujui kitu, at least ungekuwa unakijua unachokikosoa
Na wewe acha ku exaggerate na kuudanganya watu kwamba value ya kazi na competence inapimwa kwa prices zake.
Usitake kuwakaririsha watu kwamba ujenzi wa nyumba ni milions of loans,ama long term savings as if uzoefu wako ndiyo standard ya dunia.
Pamoja na arguments zako kuhusu professionalism zake na academic qualifications, ulipaswa pia kukubali kwamba mtu anapanga bei kwa misingi mingi sana na si ramani za nyumba zote zina value sawa.
Unajuaje kama ame target low income earners ambao hawana uwezo kama unavyoota?
Unajuaje kama anafanya marketing ili kujipambanua kwa watanzania walio wengi kuliko hao unaowasema wewe wenye ku access housing loans kutoka banks?
Unajua anatumia gharama gani katika kila ramani moja ili useme ana charge low? Au umekariri kwamba watu wanaopata super profits ndiyo wataalamu?
Je kama ni subsidized project yenye lengo maalumu ambapo hawezi tu kusema moja kwa moja kwa kuongopa msongamano na kupata watu wasio na hata seriousness katika ramani zile?
Kwa mtu asiye endeshwa na self pride, arrogance na dharau, hawezi kukandia kazi ya mtu kwa kuwa eti ana charge bei ndogo.. Halafu eti unasema "usichukulie rahisi hivyo", utafikiri watu wote wana hizo laki za ramani na ama umeshajua yeye ameingia sokoni bila ku pilot test.
Samahani sana kwa hiyo statement yako haijafurahisha, labda ungishia tu kwenye elimu na taaluma, lakin kwenye bei, umekariri!.
Ndugu unafahamu unachokiandika? personnally ilinichukua miaka 5 kuamua kuwa registered as a professional engineer back then it made no big difference being a graduate or professional. Kwa hiyo si lazima baada ya miaka 3 lazima every engineer awe ameshakuwa registered as a professional ni muhimu kufahamu kuwa
Ili kuwa registered as a professional engineer one has to get exposed to design,supervision and management aspects ( siku hizi ni soko huria mtu anaweza kuwa anafanya na contrcator/supervision and he/she is happy with the payment then asihangaike na hizo aspects nyingine) by the time anafikiria kuwa registered miaka 4 imeshapita utamuita huyo ni incompetent simply because he/she isn't registered in 3 years after graduation?
Ilikuchukua miaka mi5, we umesoma kozi gani? Halafu mtu mwenyewe unaye mtetea kumbe Environmental Engineer. Ni kweli kuna watu wana zaidi ya miaka 10, hata kuishi maisha yao yote bila kuwa Registered Engineer. Na inavyoonekana hatakuwa registered huyo coz yeye amesoma Environmental Engineering halafu analeta issue za Civil/ Archit(Najua Env.Eng wanasoma soma basics za civil).
Ilikuchukua miaka mi5, we umesoma kozi gani? Halafu mtu mwenyewe unaye mtetea kumbe Environmental Engineer. Ni kweli kuna watu wana zaidi ya miaka 10, hata kuishi maisha yao yote bila kuwa Registered Engineer. Na inavyoonekana hatakuwa registered huyo coz yeye amesoma Environmental Engineering halafu analeta issue za Civil/ Archit(Najua Env.Eng wanasoma soma basics za civil).
We MWENDAKULIMA Umetoka lini Katoro?