EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Leo nawaletea karamani kapya.
Ni ingizo jipya kabisa.
Ni ingizo jipya kabisa.
yeahHii ndio ramani?
Mimi sio Architect bali ni fundi wa kawaida tu, kwani sisi mafundi hatuna haki ya kutoa idea zetu humu. Kama hatuna haki basi panakua hapana maana ya kuwepo mitandao.Architects wa UDOM shida huwa nin? Unakuja na idea ambayo hata fundi michael anaweza kuitoa
idhini ya nini tena mkuu?AQRB wamekupa idhini lkn?
Unazungumzia floor plan mkuu, hiyo huwezi kuweka humu ni hatari.ni picha, hakuna ramani hapo
hahahaaaaaaaa, unataka unikosanishe na watu humu.Hii picha siyo ramani
Ova
hahahahha, subiri akanyie ndooAQRB wamekupa idhini lkn?
Watanzania mwache ushamba ulaya mawazo kama haya hayapo mkuu. Hapa duniani unaweza kufanya lolote ambalo unaliweza, acha kuogopa ogopa. Nimekaa ulaya sijawai kutana mawazo ya kishamba kama haya.hahahahha, subiri akanyie ndoo
Nitaweka sio muda mrefu mkuu.Iyo paa inakula bati za kutosha.
Embe weka ramani au picha ya nyumba za gharama nafuu vyumba viwili sebule choo kimoja cha ndani na jiko?
EllySkyWilly
Poa chif.Nitaweka sio muda mrefu mkuu.
Hiyo ramani au picha?yeah
Na huo ndo ujenzi wa kisasa, mtu unaweka ramani ya Ofisi za Halmashauri unasema ni nyumba ya kuishi? Nyumba ina chumba cha kulala baba na mama, chumba cha watoto wakubwa wa kiume, cha watoto wadogo wa kiume, cha watoto wadogo wa kike, cha watoto wadogo wa kike, seble, dinning room, chumba cha maongezi, chumba cha kusomea, jiko, store, choo na bafu 3, chumba cha wageni.Iyo paa inakula bati za kutosha.
Embe weka ramani au picha ya nyumba za gharama nafuu vyumba viwili sebule choo kimoja cha ndani na jiko?
EllySkyWilly
Ya kuchora ramani na kuzitangaza kwenye mitandao, hunajua sheria na kanuni za bodi ya wasanifu na wakadiriaji majenzi zinakataza hiki unachokifanya?idhini ya nini tena mkuu?