Raman za nyumba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raman za nyumba.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mwanakili90, May 14, 2011.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kwa wale wote waliopo DoDOMA,na walikua wanataka kuchorewa ramani za nyumba, familia,gest house au hata ramani za maghorofa,kwa wanaoitji wani Pm tuweze kufanya kazi.bei maelewano.
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni vyema watu wakajua "qualifications" zako. Yaani kiwango chako cha elimu katika fani ya uchoraji ramani.
  Asante.
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Biashara unayozungmzia ni ya kiwango cha juu, mbona communication duni?
   
Loading...