Raman ya nyumba inahitajika haraka...

Ofisa mjumbe

Member
Nov 22, 2011
24
5
nahitaji ramani ya nyumba yenye vyumba viwili vya kulala,master moja,dinning,sebure ya kuweza kukaa seti mbili za coach na vikoro koro kadha wa kadhaa,jiko,stool, choo cha public..SIMPLE BUT COMPLEX......
 
Ramani ya Nyumba nzuri ndogo na ya kisasa yenye: 1.Masterbedroom 2.Lounge/Sitting room 3.Kitchen 2.Vyumba viwili vya kulala 5. Common toilet Ikiwa na michoro yake yote yaani -Floor plan -Roof plan -Section plan -Elevation 2D View -Elevation 3D View -Site plan. Na pia -Sewage system. Inauzwa kwa 200,000/= tu . Wadau mie nimekosa mkopo HESLB na course ni Civil Engrng sasa nahitaji soma ila ndo hivo nisaidieni nichangie Tuisheni fizi. Contacts: 0787 459 850
 
........
Ni pm. Nta-design vizuri and you will get cost estmates and full specifications for the whole task.....just pm

Kaka weka namba yako ya simu hadharani ili na wengine wakutafute ,haya mambo ya PM naona kama yana longolongo vile ni kama mambo ya kujificha ficha na hayasaidiii kwani ujifiche wakati unatangaza ujuzi wako,ok hata hivyo gharama zako zinaanzia TZS kiasi gani,ili kama tunaweza tujipime na tupunguze usumbufu wa PM /kucall
 
Habari zenu naomba kujua umbali wa kilomita kutoka Gezaulole mpaka Mwanzo Mgumu(wengine wanapaita kwa sophia simba)ni umbali wa dakika ngapi?asanteni
 
Naomba nisaidia mi nimejaribu nimeshindwa Jerhy

Open goole earth
Type morogoro
Then type gezaulole, thrn typ mwanzo mgumu
Chukua measure rule by cliking
Then weka units in Km
Then scraw utaona distance ikijiandka ynyewe
 
Kaka weka namba yako ya simu hadharani ili na wengine wakutafute ,haya mambo ya PM naona kama yana longolongo vile ni kama mambo ya kujificha ficha na hayasaidiii kwani ujifiche wakati unatangaza ujuzi wako,ok hata hivyo gharama zako zinaanzia TZS kiasi gani,ili kama tunaweza tujipime na tupunguze usumbufu wa PM /kucall

.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom