Ramadhan KarEEm!!

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Baada ya joseph na Michael kutelekezwa katika jangwa la sahara kwa muda mrefu, walihisi bonge la njaa na kiu cha ukweli..
Basi walitembea wee, wakatembea wee, wakeendelea kutembea wee, na wa,..tembea wee mpaka wakaufikia mto{oasis} ulokaribu na msikiti.. Fulani.
Kabla ya kuufikia mazungumzo ya kawa hv'
joseph: aisee michael, inatubidi tubadili majina, mimi niite "Muhamedi"
michael: aisee mi nitabaki "michael" huyu huyu.. Kwanini niseme uongo?...
Basi walivyofika wakaulizwa majina...
Joseph akasema "Muhamedi"
na michael akasema anaitwa " michael"
na walikuwa na njaa pamoja na kiu hivyo wanaomba wasaidiwe...
Yule ustaadhi akiwaambia wenzie..
Ustaadhi: mleteeni chakula Michael nahisi Muhamedi "KAFUNGAA!"
hepi ramadhani wakuu!
 
Jamaa "joseph" alifikiri akibadili jina ndo watapewa msaada... Uongo haufai jameni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom