Ramadhan Kareem

Hiviii naomba kuuliza......


Waliozoea kuandika maneno ambavyo sio maadili humu mwezi huu pia wataacha kuandika hadi wamalizie zile 6?

Kama ndivyo, inamaana JF itapoa kama wanavosemaga biashara baadhi baadhi zinadoda kipindi hiki cha mwezi wa Ramadan?

Au watafunga kwa ID zao halisi na kuendelea kwa ID mchepuko?
 
Reactions: SDG
Shaharu ramadhan lladhy unzila fihi lqur an hudda linnas wabaiyinat Mina lhuda walfurqaan laa lakkunm tataquun
Wakuu naomba muisome na kuisiliza qur an iliyeremshwa mwez huu mtukufu kwan ina uongofu ndan yake ili tupate kuwa wachamungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…