Ramadan imenitesa Zanzibar, nimeshindia tende

Ramadan imenitesa Zanzibar, nimeshindia tende

Kazi kaka, nishamaliza yangu,
Mkuu mimi nina jamaa zangu wakristo wengi tu tena wafanyabiashara wengine walikuwa Zanzibar kula wanakula lakin sharti ule kwa staha.Nadhani wewe uzi wako ulikuwa unalenga kuchangamsha watu maana JF siku hizi imekuwa kama kijiwe cha kahawa,sio mbaya kuna wachache umewapata.
 
Kula kwa staha kukoje kaka?
Hakuna sehem yoyote unguja utakuta chakula kinapikwa.
Hizo tende zenyewe nafanya kuchukua jion wakisha fungua.

Hata kwenye boti za azam wkt naenda nilikuwa na pespi mkononi kila mtu akawa ananishangaa, ikabidi niitupe
 
Hicho kisiwa n hovyo kabsa
Na ndo maana wanagongana
Wenyewe Kwa wenyewe jinga hzo
 
Kula kwa staha kukoje kaka?
Hakuna sehem yoyote unguja utakuta chakula kinapikwa.
Hizo tende zenyewe nafanya kuchukua jion wakisha fungua.

Hata kwenye boti za azam wkt naenda nilikuwa na pespi mkononi kila mtu akawa ananishangaa, ikabidi niitupe
Mkuu
Wakati wa mfungo kisiwani Zanzibar wanakataza kupikwa chakula kwenye migahawa na kula hadharani.Sitaki kuamini kwamba wewe hata nyumbani ulikuwa unashindwa kujipikia au mkeo akakupikia ukala. Mimi nina jamaa zangu wakristo wengi tu ambao walikuwa Zanzibar wamerudi majuzi na walikuwa wanajilia zao mahali walipofikia.Ila wewe unataka kuwaaminisha watu kwamba hukuwa na access ya kula wakati access unayo.
Kikubwa kama wataka kula,kula kwa staha. Mazingira ya Zanzibar na bara ni tofauti has kipindi cha mfungo.

Ushauri wangu:Tujaribu kujifunza tamaduni tofauti za jamii zetu ili tuweze kuendana na mazingira husika,na kama unaona huwezi kuendana na utaratibu wa jamii husika busara ni kuangalia ustaarabu mwingine. Kila jamii ina tamaduni na taratibu zake katika mazingira tofauti.
 
Back
Top Bottom