Rama dee: Usihofie Wachaga


Kama wewe kipimo cha uzuri wa wimbo kuhit basi upe muda huu wimbo na uhakika utafanya vizuri, ila inaonekana wewe ni msikilizaji wa hit sio muziki mzuri, hivyo si kosa lako una haki ya kuandika ulichoandika....Tz hii kuna mashabiki wa Wacko Jacko wanaozifahamu Thriller naa Bill Jean pekee na wanajiita ni wapenzi wa king wa pop.
 

Usishangae mkali wao, wabongo hawapendagi vitu vizuri.
 
Rama d.mi namwita king of R&B.habahatishi kila anapotoa ngoma lazima iwe ya maana.jamaa anajua sana.
 
Binafsi namkubali sana huyu jamaa.Kiukweli kibongo bongo hakuna msanii wa RnB atayeweza kumfikia Rama D

Hang'ai kwasababu mfumo mzima wa mziki Tz umeshikiliwa na Clouds Media...hawajamaa ndio wanachagua nani ang'ae na nani hasing'ae
 
Uyu MTU na nuruelly ndo mabest singer was r&b. In tz
Yaan ata ukimpa chorus ni she eeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…