Rajoelina wa Madagascar amepinduliwa na jeshi

Rajoelina wa Madagascar amepinduliwa na jeshi

Gen Z kizazi kizuri sana, muwe mnawapa buku buku wasilale na njaa kufikia October 29 wawe wana nguvu.
 
View attachment 3487461
BREAKING NEWS:
Jeshi la Madagascar limetangaza mapinduzi na limesimamisha katiba na kumwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina kufuatia maandamano yaliyokuwa yakiendelea.

Kitengo maalumu cha CAPSAT  (ambacho kilimweka Rajoelina madarakani katika mapinduzi ya mwaka 2009),kilimsaliti Rajoelina mnamo Oktoba 11, kikijiunga na waandamanaji wa kizazi cha Gen Z Madagascar huko Antananarivo. Askari waliendesha magari ya kivita hadi katika Uwanja wa Mei 13, bila kuwashambulia waandamanaji, huku Kamanda Lylison René de Rolland akipata uungwaji mkono.

Maandamano, yaliyoanzishwa na uhaba wa umeme na maji, yanakemea ufisadi na umaskini unaoathiri asilimia 75% ya raia milioni 32 . Yakadiriwa watu 22 wamekufa, na 100 kujeruhiwa kulingana na ripoti za UN. Rajoelina, aliyekuwa amejificha na wafuasi wake, alishutumu foreign intervention ; ripoti zinathibitisha kuwa kishakimbia kutoka mji mkuu. Jeshi sasa linashikilia mamlaka.
Ndio yule mzee wa Juicy ya Corona?
 
BREAKING NEWS:
Jeshi la Madagascar limetangaza mapinduzi na limesimamisha katiba na kumwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina kufuatia maandamano yaliyokuwa yakiendelea.
Hivi huyu ndiye yule alimpa Prof Kabudi Dawa ya Corona?
 
Hii ni ile unakaa bondeni halafu unaona mvua inanyesha mlimani lazima ukae bila amani
 
Muse7 ni Mafia sana yule na ni mkongwe sana ana uzoefu wa hiyo michezo maana walishapinduana sana mara kadhaa hadi kuja kuchukua madaraka enzi zile za wakina Iddi Amini na Joseph Kony anajua figisufigisu zote
Mu7 labda apende mwenyewe lakini hakuna wa kumtoa mpaka afe
 
Yeah ni hadi afe.
Hata Waganda wenyewe wanamuogopa wameshajua kwamba kwa sasa hivi hakuna mwenye nguvu ya kumtoa wameamua kukausha tu muda wake upite
Ila afanye aandae mtu mwingine lakini asiwe mwanaye yule kichwamaji, Muhoozi Kainerugaba
 
Kwa nini? Unatumia kipimo gani kujuwa nimeandika kwa unnyonge?

Andry Rajoelina aliingia kwa maandamano mwaka 2009 na anatolewa kwa maandamano mwaka 2025. What comes around goes around

Ulidhani neno tetesi lingekusaidia? Waombe Mod warekebishe title kuwa: kimeumana!
 
Hizi ripoti yule mama wa nyinyinywi nywanywanya zitakuwa zinampeleka sana toileti maana tumbo lazima livuruge Kila akizisoma na akiziona kwenye News.

Za ndaaani kabisa,madogo wa gen Z wanaingia kwa wingi daslamu kutoka mikoani.

Tanzania is next.
Your stupid ass is next
 
Ulidhani neno tetesi lingekusaidia? Waombe Mod warekebishe title kuwa: kimeumana!
Kuwa na free mind ili upate afya ya akili. Kutofautiana mitazamo/ maoni ndiyo ukomavu. Hatuwezi wote kufikiria kwa namna moja
 
Kuwa na free mind ili upate afya ya akili. Kutofautiana mitazamo/ maoni ndiyo ukomavu. Hatuwezi wote kufikiria kwa namna moja


Kuwa na ujasiri omba Mod wabadili title kuwa "kimeumana." Tutakugombelezea posho ya doria upate tu. Au?
 
Back
Top Bottom