stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,895
- 37,426
kwan kenya mafisadi wameisha mkuuMwisho wa mafisadi unakaribia africa

17 days to go, ongezeni juhudiYaani ninyi kum@ mpaka kufikia 2030 mkae muelewe nchi zote zinazooongozwa na wasenge zitapinduliwa ,hii ni movement na huwezi pinga choko yoyote , tena tarehe 29 naanza na machoko kana ninyi owa kuwapaka makslioni baby oil ya pdidy kumanina zenu
Matusi mengine mnajitakia. Watu wana hasira, wewe unaleta mitazamo yako na ambayo unafahamu fika itawaongezea hasira. Wakati mwingine ukiona mada kama hizi, fanya kuzipotezea tu ili siku yao iende vizuri.Mungu akubariki sana kwa matusi yako.
Safi SanaView attachment 3487461
BREAKING NEWS:
Jeshi la Madagascar limetangaza mapinduzi na limesimamisha katiba na kumwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina kufuatia maandamano yaliyokuwa yakiendelea.
Kitengo maalumu cha CAPSAT (ambacho kilimweka Rajoelina madarakani katika mapinduzi ya mwaka 2009),kilimsaliti Rajoelina mnamo Oktoba 11, kikijiunga na waandamanaji wa kizazi cha Gen Z Madagascar huko Antananarivo. Askari waliendesha magari ya kivita hadi katika Uwanja wa Mei 13, bila kuwashambulia waandamanaji, huku Kamanda Lylison René de Rolland akipata uungwaji mkono.
Maandamano, yaliyoanzishwa na uhaba wa umeme na maji, yanakemea ufisadi na umaskini unaoathiri asilimia 75% ya raia milioni 32 . Yakadiriwa watu 22 wamekufa, na 100 kujeruhiwa kulingana na ripoti za UN. Rajoelina, aliyekuwa amejificha na wafuasi wake, alishutumu foreign intervention ; ripoti zinathibitisha kuwa kishakimbia kutoka mji mkuu. Jeshi sasa linashikilia mamlaka.
View attachment 3487461

Sio kwa TANZANIA!Siku zote majeshi hua ni ya wananchi.
Kwa mashoga wa Tanzania hamna kituZamu ya Tanzania sasa
Kunywa maji baridi glass moja kupunguza hasira. ItakusaidiaMatusi mengine mnajitakia. Watu wana hasira, wewe unaleta mitazamo yako na ambayo unafahamu fika itawaongezea hasira. Wakati mwingine ukiona mada kama hizi, fanya kuzipotezea tu ili siku yao iende vizuri.
Kwa nini? Unatumia kipimo gani kujuwa nimeandika kwa unnyonge?
Hivi hawa wanajeshi wa nchi nyingine za africa mbona naona wana tofauti kubwa sana na wa Tanzania?
Dogo loftinKwa mashoga wa Tanzania hamna kitu