Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,018
- 144,377
Zitto hii taasisi mbona humuisemei licha ya umuhimu wake?Kama ambavyo mpaka leo hii haujatekeleza uanzishwaji wa wakala wa Meli nchini kama ulivyoshauriwa na kamati mojawapo ya makinikia, ndivyo ambavyo mpaka leo hii nawe haujatekeleza wala kuanzisha mchakato wa uanzishwaji wa taasisi hii ambayo itahusika na management ya majanga mbalimbali nchini.
Licha ya Bunge kupitisha sheria ya Disaster Management Act tarehe 26/03/2015,si wewe wala mtangulizi wako ambae ameanzisha hii taasisi.
Hii Agency ingekuwa ni chombo muhimu sana katika kusimami na kuzuia majanga mbalimbali, kuishauri serikali na pia ingeshirikiana na wakuu wa taasisi kama Mamlaka ya Hali ya Hewa,TCRA, Mamla ya Chakula na Dawa, Hifadhi ya Taifa ya chakula,kikosi cha zimamoto,n.k pamoja na wizara mbalimbali katika utendaji wake wa kazi.
Nashangaa hata baada ya hii ajali kutokea, jambo hili halipewi uzito licha ya umuhimu wa taasisi hii katika kushughulikia na kudhibiti majanga mbalimbali hapa nchini na pia kutoa ushauri kwa serikali kuhusiana na maswala mazima ya majanga.
Ni ajabu hata wapinzani nao wako kimya kabisa kuhusu uanzishwaji wa hii taasisi.
Wabongo hatujielewi kabisa!
Taasisi kama hiyo ndio ingeweza ku-push issue kama za ununuzi wa vifaa vya kukabiliana na majanga kama vile vifaa vya uokoaji, n.k.Taasisi ilizoundwa ni zile za kudhibiti chadema tu , tena zimeundwa kwa ufanisi sana !
utaambiwa serikali haikupindua meli !Taasisi kama hiyo ndio ingeweza ku-push issue kama za ununuzi wa vifaa vya kukabiliana na majanga kama vile vifaa vya uokoaji, n.k.
Haya ndio maswala ya kujadiliwa na kutolewa ufafanuzi ili tupate suluhisho la kisomi kwenye maafa.Hili la kupuuza hii act hata mimi linanishangaza sana na nimelisema sana humu ila watu hawaoni umuhimu.
Hapa mpaka atokee mtu maarufu aongee labda ndio itaonekane ni hoja.
Kutikuanzishwa kwa Tanzania Disaster Management Agency ni tatizo kubwa sana ambalo watanzania wote wakiwemo na wanasiasa wa chama tawala, wapinzani na mashabiki wao wote wanapuuza jambo hili.
Sisi wabongo sijui tukoje!!
Tuendelee kujielimishaUmesomeka
Kumbe asubuhi ukitulia unaongeaga point.Hili la kupuuza hii act hata mimi linanishangaza sana na nimelisema sana humu ila watu hawaoni umuhimu.
Hapa mpaka atokee mtu maarufu aongee labda ndio itaonekane ni hoja.
Kutokuwa na taasisi kama Tanzania Disaster Management Agency(TDMA) katika nchi, ni kasoro kubwa sana katika swala zima la kukabiliana na majanga lakini watanzania wote wakiwemo wanasiasa wa chama tawala, wapinzani na mashabiki wao wote kwa ujumla wanapuuza kabisa jambo hili.
Sisi wabongo sijui tukoje!!
Inawezekana bado hajui kuna hiyo sheria!Kama ambavyo mpaka leo hii haujatekeleza uanzishwaji wa wakala wa meli nchini kama ulivyoshauriwa na kamati mojawapo ya makinikia, ndivyo ambavyo mpaka leo hii haujatekeleza wala kuanzisha mchakato wa uanzishwaji wa taasisi hii ambayo itahusika na management ya majanga mbalimbali nchini.
Licha ya Bunge kupitisha sheria ya Disaster Management Act tarehe 26/03/2015,si wewe wala mtangulizi wako ambae ameanzisha hii taasisi.
Hii Agency ingekuwa ni chombo muhimu sana katika kusimami na kuzuia majanga mbalimbali, kuishauri serikali na pia ingeshirikiana na wakuu wa taasisi kama Mamlaka ya Hali ya Hewa,TCRA, Mamla ya Chakula na Dawa, Hifadhi ya Taifa ya chakula,kikosi cha zimamoto,n.k pamoja na wizara mbalimbali katika utendaji wake wa kazi.
Nashangaa hata baada ya hii ajali kutokea, jambo hili halipewi uzito licha ya umuhimu wa taasisi hii katika kushughulikia na kudhibiti majanga mbalimbali hapa nchini na ikiwemo kutoa ushauri kwa serikali kuhusiana na maswala mazima ya majanga.
Ni ajabu hata wapinzani nao wako kimya kabisa kuhusu uanzishwaji wa hii taasisi hata baada ya kutokea kwa hii ajali.
Wabongo hatujielewi kabisa!
Nashauri ziongezwe maana chadema ni kirusi kibaya zaidi.Taasisi ilizoundwa ni zile za kudhibiti chadema tu , tena zimeundwa kwa ufanisi sana !
Kama ambavyo mpaka leo hii haujatekeleza uanzishwaji wa wakala wa meli nchini kama ulivyoshauriwa na kamati mojawapo ya makinikia, ndivyo ambavyo mpaka leo hii haujatekeleza wala kuanzisha mchakato wa uanzishwaji wa taasisi hii ambayo itahusika na management ya majanga mbalimbali nchini.
Licha ya Bunge kupitisha sheria ya Disaster Management Act tarehe 26/03/2015,si wewe wala mtangulizi wako ambae ameanzisha hii taasisi.
Hii Agency ingekuwa ni chombo muhimu sana katika kusimami na kuzuia majanga mbalimbali, kuishauri serikali na pia ingeshirikiana na wakuu wa taasisi kama Mamlaka ya Hali ya Hewa,TCRA, Mamla ya Chakula na Dawa, Hifadhi ya Taifa ya chakula,kikosi cha zimamoto,n.k pamoja na wizara mbalimbali katika utendaji wake wa kazi.
Nashangaa hata baada ya hii ajali kutokea, jambo hili halipewi uzito licha ya umuhimu wa taasisi hii katika kushughulikia na kudhibiti majanga mbalimbali hapa nchini na ikiwemo kutoa ushauri kwa serikali kuhusiana na maswala mazima ya majanga.
Ni ajabu hata wapinzani nao wako kimya kabisa kuhusu uanzishwaji wa hii taasisi hata baada ya kutokea kwa hii ajali.
Wabongo hatujielewi kabisa!
Kwa bahati mbaya sana Shetani hajawahi kumshinda MunguNashauri ziongezwe maana chadema ni kirusi kibaya zaidi.