JAMII-ASM
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,305
- 524
Hii si mara ya kwanza kwa Raisi hapa afrika mashariki kupiga combat wakati wa kukagua zoezi la kivita. Uhuru Kenyatta huwa anapiga combat,na wa Kenya hupenda akivaa vazi hili kwani humpendeza sana.
Kama Commander in Chief Rais Magufuli kavaaa combat wakati akienda kushiriki Zoezi la Medani ya kivita.
Kama CIC hili ni vazi lake..
Kama Commander in Chief Rais Magufuli kavaaa combat wakati akienda kushiriki Zoezi la Medani ya kivita.
Kama CIC hili ni vazi lake..