Raisi gani mstaafu anafaa kuwa baba wa taifa?

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
18,353
14,558
Tangu kufariki kwa baba wa taifa mwalimu Nyerere ambae alikuwa na nguvu, ushujaa, weledi na ushawishi wa mambo mengi ya kisiasa kiasi cha kuogopwa na watawala sijui ni raisi gani mstaafu anaweza 'kuvaa' viatu' hivyo.

Kumekuwepo na sitofahamu kubwa nchini hasa suala la Zanzibar ambalo dalili zinaonyesha tunakoelekea sio kuzuri hata kdg. Alitakiwa awepo raisi mstaafu mwenye ushawishi na ukeameaji wa hali iliyotokea Z'bar.

Nani kati ya Alli Hassan Mwinyi, Mkapa na Kikwete anaweza kuvaa viatu hivyo?
 
Back
Top Bottom