Raisi gan anaeongoza kwa kitambi afrika ;

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,241
Yaani hilo tambi nimeamini kwa nini alikuwa anangangania madaraka jamani loh fashist huyu
 
Attachments

  • LAURENT.jpg
    LAURENT.jpg
    28.7 KB · Views: 169
Yaani hilo tambi nimeamini kwa nini alikuwa anangangania madaraka jamani loh fashist huyu

Alikuwa anajifanya jeuri kumbe ni ndunya tu, aliambiwa aachie madaraka kwa heshma yeye akajifanya king'ang'anizi ona sasa mtu mzima anavyoadhirika na bila shaka alichezea kichapo! na isije ikawa walimfanyia na mambo ya 'al kadhalika'
 
yap abidjan kuna baadhi ya askari wamekamatwa baada ya kuafnya huu mchezo mchafu wa kimombasa
 
..Mkuu, sijui kwa nini na mimi nimeingiwa na wasiwasi huo! Kama sio yeye basi angalau kwa First lady. Amejitakia. Usipojiheshimu, Usitegemee watu wakuheshimu na hasa watu ambao wamefiwa na ndugu zao kwa kutokujiheshimu kwako...!

kweli sauti ya wengi wape,ameshakaa miaka kumi haridhiki tu bora angeachia kwa amani angeheshima licha ya kuahirisha uchaguzi tangu 2005 ili aendelee kubaki madarakani,,kwa FRANCE 24 wamemuonyesha alivokamatwa akiwa na mkewe as if kafumaniwa na mke wa mtu..TUNAMTAKA THE HAGUE HARAKA SANA KAUWA WENGI SANA.
 
yap abidjan kuna baadhi ya askari wamekamatwa baada ya kuafnya huu mchezo mchafu wa kimombasa

Huna kingine cha maana unachokifikiria kichwani chako zaidi ya mchezo mchafu wa kimombasa. Wewe ni JF Premium member tupe point za maana bwana, sio mambo yako ya ajabu unayotuandikia.
 
Back
Top Bottom