Raisi apokea Tuzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi apokea Tuzo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Sep 6, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]

  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete akipokea tuzo toka kwa Ajay Vashee makamu mwenyekiti wa NGO inayoshughulika na kilimo iitwayo Food, Agriculture and Natural Resources Policy (FANRPAN). Je hii ni tuzo kweli au nyenzo ya kuwa karibu naye ili kuwawezesha wahusika wapata deals za kutuibia.
   
 2. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fake smile! wote nawaona wasanii tuu.Kwa lipi hasa kwa JK?
   
 3. M

  Moony JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  FANRPAN ni chombo chenye staha wala si uchwara. waweza soma zaidi kwenye internet
   
Loading...